LULU KATIKA SKENDO YA KUPORA BWANA WA MTU

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

E LIZABETH Michael ‘Lulu’ anayetesa katika filamu za Kibongo, yupo kwenye bifu zito na mshiriki wa Miss Tanzania mwaka 2012, Husna Maulid ambaye anadai amempora bwana’ke.

Habari zinaeleza bifu lao limefikia hatua ya kuanikana waziwazi hadi kumwagiana matusi kwenye mitandao ya kijamii, hasa Instagram lakini huondoa majibizano yao machafu kila baada ya muda mfupi.

Chanzo cha habari hizi kinapasha kuwa ugomvi wa Lulu na Husna ni juu ya mwanaume huyo ambaye anaishi jijini Arusha aliyetajwa kwa jina moja la Seki anayeelezwa kuwa na pesa za kutosha kusumbua mjini. “Hao wanamgombea jamaa fulani wa Arusha, anaitwa Seki, ana mawe (pesa) mbaya.

Lakini wa kwanza kuwa na Seki ni Husna na Lulu alijua, sema Husna na huyo jamaa walikuwa wanagombana na kumwagana mara kwa mara. Sijui sasa nini kilimfanya Lulu kwenda kutembea tena na huyo jamaa wakati anajua ni wa shoga yake, labda ni baada ya kujua wamemwagana,” kilipasha chanzo hicho.

Baada ya kupata habari hizi, mwandishi wetu aliwatafuta Lulu na Husna kwa ajili ya kuthibitisha madai hayo. Lulu alikuwa wa kwanza kupatikana ambapo alisema: “Jamani mimi simjui kabisa Husna Maulid wala hata katika fikra zangu hayupo... yaani kifupi simjui.”

Husna alipopatikana na kuelezwa mkanda mzima, kwanza alishangaa Lulu kutomjua, akasema: “Hakuna mtu asiyejua kuwa Lulu kanipora mwanaume wangu. Lakini anajifanya mjanja, tutaoneshana tu. Anajidai sana, anajifanya wa mjini hanijui mimi, lakini mimi ni wa mjini zaidi yake.”
GPL
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

25 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Haya mawe yatatumaliza

    ReplyDelete
    Replies
    1. Aswaaaa,siku hizi hakuna mapenzi ni maweeee.

      Delete
  2. Haya mawe yatatumaliza

    ReplyDelete
  3. wewe Husna wewe ni wa kuporwa tu jaman?si wewe juzijuzi hapa ulidai Jack wolper amekupora bwana!basi na wewe pora safar hii..kwi kwi kwi...kazi kweli kwel

    ReplyDelete
  4. Gawaneni tu upupu...mkishaanza kuwashwa ndo mtajua kuwa kila kitu ni ubatili.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Na awaendi kwa condom ni nyama kwa nyama.

      Delete
  5. Hahahahah husna we una damu ya kinguni kila siku waporwa wewe loh jitahidi mama kwenye 6 kwa 6 haahahaaaa chinekeee

    ReplyDelete
  6. Mjini kuna mambo poleni wadada kutwa kugombania wanaume iyo yote ni kukosa kazi

    ReplyDelete
    Replies
    1. njaa kali ....mtapolana mabwana mpaka mkome..mabwana wenyewe sasa hata uwape nini ndo kwanza wanazidi kuwashwa,,,Hatari lulu una 18 lakini umetiwa na kufilwa kuma mashavu yamechakaa utafili 60yrs,,malaya wewe amka tafuta kzazi ya kufanya..mkundu hauna kazi we jishaue tu.

      Delete
  7. kumichwa utotoni shida kinabeba hadi vibwana vyawatu bora kangeo zea jela

    ReplyDelete
    Replies
    1. hamnaga bwana wa watu.....bwana wa watu ataendaje kwa lulu...tumia akili hata kama shule ujaenda.

      Delete
  8. Husna unakasoro ndugu yangu tafuta kugwi wapo wengi sana wa kulipwa hata kama huolewi ni pesa yako tu. Tafuta mtu mzima akufunde watakukimbia kila siku we hujajua kosa lako hakuna anayekupora mapenzi ni kustareshana wezako wanakuzidi. Hao mabwana wanakukimbia siyo kuporwa kazi kwako.

    ReplyDelete
  9. skendo zisizo kuwa namana nibora kuzikaushia

    ReplyDelete
  10. MAVUZI YAKE HUYO LULU,ANATAKA KUFA NA WENGI SASA UKIMWIIIIIIIIIIIIII ASIEJUA NI NANI AU NITOE SIRI

    ReplyDelete
    Replies
    1. Acha,usitoe siri msitiri lulu Wa watu,Ujue lulu Ana kundi lake wako watatu,na woteee wanashinda kila mtu awe juu ya mwenzie,na wote Wana sagana,penny angalau Ana bar na kazi,Julie kazi yake kwenda china anachopeleka china kila kukicha Muumba wake ndio anajua,yaani kizazi hiki ni cha laana.

      Delete
    2. Juliana kwa wiki anatumia million moja kununua nguo,na sio Kama Anapewa hela na wazazi hapana,yeye akipata hela anamuhonga mama yake ili aendelee kumtunzia siri,ili baba yake asijue,wazazi tunawaaribu Watoto wetu wenyeweeeeee

      Delete
  11. Toa hiyo siri mdau utujuze

    ReplyDelete
  12. lulu ni malaya chipukizi tena narudia tena,,mwenzie kanumba anakula udongo chini yeye ndo anazidi kutanua mkundu wake mpana kama mwaka wa njaa hata aibu hana majaribu mungu aliyompa angeeka iyo kuma chini,,eti star malaya akaoshe mkundu huko unaomsumbua kila siku hata dawa hajapata coz mkundu wake umefumuka kilaa saa anatokwa na harufu mbaya hana amani kila kukichwa me namshauri aende india wakamtibu huo mkundu

    ReplyDelete
  13. mawe ndio mpango mzima!

    ReplyDelete
  14. Huyu lulu atakuwa ana mapepo ya ngono kila mwanaume wake anatakiwa aombewe

    ReplyDelete
    Replies
    1. Jamani Si udaku iliandika amechumbia na mchumba ameshamtambulisha kwao?kumbe ni habarii za uongo?mi nilikuwa najiuliza mwanaume anayejitambua hawed kumuoa lulu,lulu ameshaaribika.awezi tulia na mwanaume mmoja.

      Delete
  15. Huyo mwanaume nae amekimbia kujifuta jasho na leso yenye kamasi kaenda kujifutia leso yenye damu ya hedhi

    ReplyDelete
    Replies
    1. Duh!humu kunanidunza mengi,karibu ntakuwa mtaalam wa matusi.thnx wadau

      Delete
    2. Umeona eeeeh...yani mbavu nashikiliya aisee. Wa bongo mnamatusi sio siri sijuwi mnafunzwa shule ?

      Delete

Top Post Ad