MAASKOFU 32 WAUNGA MKONO RASIMU YA WARIOBA KAMA ILIVYO

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Katika salama za pasaka viongozi wa dini wa katoliki 32 wamesema maoni ya wananchi katika rasimu ndio msingi wa katiba hivyo wamewataka wajumbe wa bunge la katiba wa yaheshimu kama yalivyo wasilishwa na jaji warioba bungeni,wamesema wajumbe wa tume waheshimiwe kwakua taasisi zote,mtu mmoja mmoja na makundi mbali mbali ya kijamii yalipata nafasi kupeleka maoni yao mbele ya tume ya warioba,hivyo wanapashwa kuheshimu rasimu hiyo iliyo beba maoni ya wananchi hakuna haja ya wakuidharau tume iliyo undwa na watu makini na wanao heshimika katika taifa letu
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

10 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hao nao ni uamsho?

    ReplyDelete
  2. Tukisema sisi wanasema tunataka kuvuruga Amani ya nnchi yetu na hatimaye muungano kuvunjika hay a sasa na hao maaskofu 32 wanataka Amani ivunjike? We need to look forward guys at this moment.we also need to focus in our develop.every things has its time and this is the right time 4 change of our consititution

    ReplyDelete
  3. Hivi hawa maaskofu wanajua maana ya rasimu? Kama wanataka iachwe kama ilivyo basi isiitwe rasimu

    ReplyDelete
    Replies
    1. Wamesema maoni ya wananchi yaheshimiwe mbona umekaa kishabik na kinafikinafik sana!

      Delete
  4. Tatizo lenu nyie mnahamasisha vurugu.

    ReplyDelete
  5. Wewe ndo unaelewa maaskofu hawaelewi. Sasa cjui unaamua nn

    ReplyDelete
  6. NIMEIPENDA KAULI YA KAKOBE YA KUIRUDISHA TANGANYIKA.

    ReplyDelete
  7. NIMEIPENDA KAULI YA KAKOBE YA KUIRUDISHA TANGANYIKA.

    ReplyDelete
  8. Tuombe amani, hili swala la katiba nalo liishe tumechoka kusikia kitu ambacho ni kwa maslahi ya wananchi kinazingua muda wote huo, sisi wananchi ndio waamuzi na maamuzi yetu yaheshimiwe, ila wabunge wenyewe kazi mipasho tu, kama ndio hivyo hivi kwanini wabunge wa katiba visichaguliwe vikundi vya taarab kama Jahazi, zanzibar stars, east african melody, five stars, tot taarab, dar modern na vinginevyo???

    ReplyDelete
  9. Rasim ya katiba aliyosoma Warioba ndo mpango mzima, npo pamoja na Askofu Kakobe na maaskofu wote, Tanganyika yetu jaman. Y hiyo ccm inakomaza shingo kwa ajili ya ujinga! msicheze na watumish wa Mungu jaman

    ReplyDelete

Top Post Ad