TID, RECHO THT WADAIWA NI WAPENZI

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

MALOVEE? Bosi wa Top Band, Khaleed Mohamed ‘TID’ au ‘Mzee Mnyama’ na mtoto mzuri kutoka Jumba la Vipaji Tanzania (THT), Winfrida Josephat ‘Recho THT’, wanadaiwa kuwa na uhusiano uliotafsiriwa ni wa kimapenzi, Ijumaa Wikienda limeinusa.

Kwa mujibu wa chanzo makini, wawili hao wamekuwa wakionekana pamoja sehemu mbalimbali huku wakidaiwa kupiga ‘mitungi’ kiasi cha kushindwa kuzificha hisia zao.

“Mbona ipo wazi, TID na Recho siku hizi hawafichi kitu, tena wanapopiga mitungi ndiyo kabisa, mfano mzuri ni juzikati walikuwa pamoja mjini Dodoma, waliponda raha kinomanoma,” kilitiririka chanzo hicho.
Kama ilivyo ada, wanahabari wetu waliingia mzigoni kwa kuanzia nyumbani kwa Recho, Kinondoni, Dar, wakamkosa lakini badala yake, walipatikana mashosti zake wa karibu.

“Recho kwa sasa anatoka na Mnyama na hapa tunavyoongea yupo Njombe ambapo ametimka baada ya taarifa za yeye kutoka na TID kuzagaa mtaani, halafu pia Recho siku hizi anapombeka sana na tunahisi hata ‘mambo meupe’ anatumia,” alisema shosti huyo.

Baada ya kushibishwa data hizo, waandishi wetu walitinga ofisini kwake THT, Kinondoni ambapo wanamuziki wenzake walisema staa huyo ana muda mrefu hajafika kazini hapo pasipo kutoa sababu za msingi.

Ijumaa Wikienda lilimpigia simu Recho, akafunguka: 
“Kweli nakunywa pombe lakini si kiivyo watu wanavyonisema. TID ni mtu wangu kikazi wala siyo kimapenzi. Watu wamekuwa wakinishutumu kila ninapokuwa na mwanaume wanasema ni bwana’ngu kitu ambacho si cha kweli kama wanavyonizushia kuvuta bangi.

“THT siendi kwa sababu nimesafiri, hapa ninapoongea nipo Njombe. Nimekuja kutulia huku kutokana na maneno kuzidi na watu kunipakazia uongo,” alisema Recho.

Kwa upande wake TID, alipopigiwa simu, alijitetea kwa kusema kuwa yupo na Recho kikazi na wala si vinginevyo.

“Dah...! Ebwana naomba uachane na hizo habari za mapenzi, mimi ni mtu mzima nina mengi ya maendeleo ambayo natakiwa nifanye,” alisema TID.
GPL
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

8 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Kwa sababu umefanana na ray c kwa hiyo upite kwenye njia zake co.......we piga tu sembe uone km jakaya atatokea km kwa mwenzio

    ReplyDelete
  2. Kwani na recho nae anatumia ngada??nakm hatumii ajiangaliesanaaa

    ReplyDelete
  3. Kweli anafanana na ray c kwa kila kitu

    ReplyDelete
  4. anatumia kitu nyeupe kakimbilia mjombe wapi yuko bagamoyo anakula pombe kazi kaisha acha kutwa kalewa.

    ReplyDelete
  5. Huyu demu kama ni kwel anatombwa na huyo mteja TID basi ajue mwisho wake ndio umeishia hapo kwa vijinyimbo vyake cos wateja kawaida yao lazima amwashe gari kama ni demu au men wake ndio sifa yao kuu au hata rafik ili aweze kumpa compan!ndio maana vijana wengi wao mara nyingi huwa sio kama wamependa ila kutokana na vijiwe vya bangi hao mateja huwachanganyia wakiwadanganya ni bangi!hata Ray C ndivyo alivyo vutishwa bila kujua na yule kibaka wa weusi!kuandamana na mteja na wewe kama ndio hivyo gambe unapiga duh dada we bas tena na kama wazazi wako wasipokuwa serious na wew ndio hivyo unapita alipo pita Ray C na yy anabahat ameweza kujitambua hatujui na ww kama huo ujasiri utaweza maana fikiria mvutaji tu wasigara anapo acha jinsi anavyo pata shida sasa ngada mama ni mara mia mbili yake!yaan in short umepotea uwe unavuta huvuti kutombwa na huyu mla madawa!kwaheri mbongo fleva.

    ReplyDelete
  6. Kula sembe Mama ili 2pate la kucmulia baadae

    ReplyDelete

Top Post Ad