MFANYABIASHARA KARIAKOO AKUTWA GESTI NA SHEMEJIYE

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

MFANYABIASHARA maarufu wa simu za mikononi maeneo ya Kariakoo jijini Dar, aliyefahamika kwa jina moja la Devi, hivi karibuni alipatwa na soni ya aina yake baada ya kukutwa katika nyumba ya kulala wageni akiwa na mke wa rafiki yake wa karibu.

Mtoa habari makini aliliambia gazeti hili kuwa kisa kizima kilianza baada ya mwenye mali (mume) kukuta ujumbe mfupi wa simu katika kilongalonga cha mkewe unaoashiria mambo ya mapenzi na mbaya zaidi, meseji hiyo ilitoka kwa rafiki yake huyo.

Licha ya kukuta ujumbe huo wa kimahaba, chanzo chetu kilidai kuwa pia mume huyo alikutana na sms kadhaa zilizokuwa zimetuma fedha kwa njia ya mtandao wa simu, zikielekezwa kwa dada huyo kwa ajili ya matumizi yake.

Baada ya jamaa huyo kujiridhisha kuwa Davi alikuwa na nia mbaya na mkewe, mume huyo aliamua kuanzisha mkakati na kumtuma mdogo wake kufuatilia ishu nzima kwani yeye alibanwa na majukumu mengine ya kikazi.

Bila kujua kuwa nyendo zao zinafuatiliwa, Davi na shemeji yake walipanga kukutana katika hoteli moja (jina linahifadhiwa)iliyopo Sinza na baada ya kupata chumba na kuingia ndani, bila hofu, walianza kujiandaa kwa ajili usaliti.

Huku mwanaume akiwa ameshatoa nguo zake sambamba na mpenzi wake, mlango wa chumba chao uligongwa, lakini wakiwa hawana hofu,wakiamini ni mhudumu walifungua na wote kupatwa na bumbuazi baada ya kugundua aliyekuwa mbele yao ni mdogo wa mwenye mke ambaye wote wanamfahamu!

“Huwezi kuamini, baada ya sisi kuingia chumbani na kuwakuta kama walivyozaliwa, jamaa alikimbilia chooni na kwa jinsi alivyokuwa, alionyesha kabisa kuhitaji kujitumbukiza, lakini bahati nzuri vyoo vile ni vya kisasa,” kilidai chanzo hicho.

Mwandishi wetu alimtafuta kwa njia ya simu mwenye mke kutaka kujua kilichoendelea baada ya tukio hilo ambapo alipopatikana alisema:

“Ni kweli tukio hilo limetokea ila siwezi kuzungumzia zaidi, jamaa alikuwa akinizunguka kwa mke wangu lakini arobaini yake imefika, zaidi nenda Kituo cha Polisi Oysterbay utaelezwa kila kitu.”
Source:Global Publishers
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

8 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. jamani kweli watu ndio wabaya na sio dunia mbaya....looll..hadi wanawake michepuko ndo imeshamiri...nikajua wanaume tu maana ndo zao hizo...aibu tupu....na huyo kaka ana mke mzuuuri tu sijui anatafuta nn hapo kama ladha ni ile ile umapepe tu...mweeee mbo tutakufa wengi hakuna wa kumwamini saiv ndugu zanguni...tuwe masista na mapadri ndo kilichobaki tu....haloooo

    ReplyDelete
    Replies
    1. we nae masista na mapadri ndo alikwambia nani hawafanyi, kwani sio binadamu wale he hawana nyege, watoto yatima kibao kwa ajili ya masista na mapadri, kesho sijui wataenda kusema nn kwa mungu, kwanza hakuna maandiko yaliyosema padri haruhusiwi kuoa, mungu hakuwa mjinga kuumba mwanamke na mwanaume, by the way mwisho wa ubaya aibu mwanaume mwenyewe mbaya aliyeenda msaliti mumewe shwain kweli tamaa mbaya

      Delete
  2. Kama hamtombi akalizika muache atombwe alizishe nafs yake kila utam dada

    ReplyDelete
  3. Huyu mbona kama demu mmoja anaitwa m-y-sa...! Model tena duh

    ReplyDelete
  4. Tusichukulie kosa upande mmoja,mwanamnke ndie mbaya hujui labda alimtongoza jamaa ili apewe chochote!Ulimwengu maslahi!

    ReplyDelete
  5. Jaman huyo kaka namfahamu anaitwa david john mpenda, anapenda sana sifa! Looh za mwizi arobain

    ReplyDelete
  6. muwaache wale raha zao..kawaida tu

    ReplyDelete
  7. Ukibaki njia kuu utashindwa kufika michepuko ndio dili lzm upiti kigogo utoke ilala njia ya morogoro rod foleni kibao

    ReplyDelete

Top Post Ad