MTOTO WA KAJALA AUMIZWA NA UGOMVI WA MAMA YAKE NA WEMA "NAMPENDA SANA WEMA"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Kutokana na ugomvi unaoendelea kati ya Wema Sepetu na Kajala Masanja,mtoto wa Kajala aitwaye Paulette amesema anaumizwa na ugomvi huo na kwamba amekuwa akimtumia ujumbe Wema kumweleza anavyompenda.

Paulette alikuwa akizungumza na ‘Movie Leo’ ya kipindi cha Leo Tena cha Clouds FM.

Vimekuwa vinaniuma sana ila hata kama wakisema vitu vyote ataendelea kuwa mama yangu,” alisema. 

Mimi naona mama yangu hana makosa yoyote wanavyomtukana,mimi nakuaga najisikia sana vibaya.

"Namwambia (Wema) mama yangu hata kama amekosea kitu chochote amsamehe kwasababu mimi nampenda Wema kama aunt yangu na ninampenda mama yangu tena sipendi nikiona wanatukanana wala nini napenda wawe marafiki,nataka nimwambie Wema nampenda sana,” alisema. Paula.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

8 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. wema hawezi kuwa anti yako. sema dadangu.

    ReplyDelete
    Replies
    1. We nawe Hovyo...ko kajala anaweza kumzaa wema!mfyuuuu

      Delete
  2. Wazazi tunapofanya maamuzi tufikirie watoto waathirikaje tuache umimi

    ReplyDelete
  3. hakuna na wewe umerisi mikoba.muacheni wema afanye mengine...hayo yashapita.

    ReplyDelete
  4. Good totooo. ..Paula wetu it's real paining kwel jaman mtoto kazoea kwaona mkiwa na fraha as a good friends halafu leo mtoto amekua anasoma magazeti ninyi mnagombana tena kupitia wapambee plz...hebu kaeni mwongee we lv u wema ukiwa na kajala. ..

    ReplyDelete
    Replies
    1. This comment has been removed by a blog administrator.

      Delete
  5. Mambo yote kajala altakiwa kuwaza mara mbil kabla ya kufanya sijui ukwel ni upi ila kama kajala unatembea na cl kwel acha wema akuchukie mazima hakuna kitu kinachouma kama hicho kiukwel ktk hal ya kibadam

    ReplyDelete

Top Post Ad