AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Source ITV News.
My Take: TANGANYIKA ni TAIFA lisiloweza kuzuilika, Z'bar ni taifa lisiloweza kuzuilika, Serikali 3 ni mfumo usiozuilika na watawala waliojaa woga...! CCM wanaweweseka kila kukicha, wanaweka vikao vingi gizani na kusambaza fedha za udhalimu, za sembe, na dentals la nyara zetu ili kuendelea kutawala kidhalimu...lakini mkono wa Mungu unathibitisha ktk mwanga kuwa Watanganyika na Wazanzibar watawekwa huru...tena UHURU wa kweli na uliolindwa kwa mikono ya Mungu na Umma!
Naomba kuwasilisha!
Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu
Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
Rais wa tatu anakaa wapi znz or bara, mtihani ni bora muungano uvunje why tunganganie utumbo
ReplyDeleteDu, Mungu tusaidie
ReplyDeleteMchungaji Christopher Mtikila aliwahi kunena haya ''Tanganyika ni MAMA yetu,kuushabikia Muungano bila ya uwepo wa Tanganyika ni sawa na mwehu anayeshangila MAMA yake mzazi akibakwa hadharani''
ReplyDeletesijaelewa..kumbe bunge la katiba limeshaanza? Ln? nani mwenyekiti?
ReplyDeleteWapinzani oyeee! Zanzibar wanakosa maslahi kibao kwa kivul cha muungano
ReplyDeleteDu huyu ni kidume cha mbegu heri ameusimamia moyo wake watabadilika waache tu na huo ndo mpango wetu cc wananchi tunataka serikali 3 mwambie jakayana kundi lake waache uongo na aibu
ReplyDeleteserekali mbili 2...alufu usiuseme moyo wa mtuu..eti sisi wananchiii.
ReplyDeleteUkisikia integrity ndio hii aloonyesha Mwanasheria Mkuu wetu.
ReplyDeleteHivi nyinyi mnaotaka serikali 3 naisi hamnzo. Jk wape Jwtz nchi maana mijitu demokrasia imeshindwa tupate kunyooka
ReplyDeleteKuma wewe huyo bahasha wako umeona nchi ni ya kwake mpaka awape hao wanajeshi?hiv unaakili sawa sawa we mkundu au ndio kujipendekeza?shauri yako utaliwa kijambio hicho ohoo!
Delete