ROSE NDAUKA "NDOA YANGU SOON!"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

MSANII maarufu wa sinema za Kibongo, Rose Ndauka amesema kuwa watu wasiwe na wasiwasi kwani kwa mipango ya Mungu atafunga ndoa na mzazi mwenzake Maliki Bandawe hivi karibuni.

“Si muda mrefu mambo yatakuwa mazuri tulikuwa tunaendelea kujuana, nadhani sasa tunafahamiana vizuri hivyo watu wasiwe na shaka, tutafunga ndoa soon,” alisema.

Rose ambaye hivi karibuni alihamasisha zoezi la usafi na kuungwa mkono na wasanii mbalimbali akiwamo Meya wa Ilala Jerry Slaa, alisema watu wasihofu kuhusu ndoa hiyo kwani ipo njiani.

“Hatujui labda kuchelewa kwetu kuna kitu Mungu amekiepusha, siku zote haraka haraka haina Baraka,” alisisitiza Ndauka ambaye amepanga kutembea Tanzania nzima kuwahamasisha wananchi kuzingatia usafi.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. kwan lzm ututangazie si ufunge tukupongeze siyo soon ulikuwa wap kabla mpaka umezaa unaona ijitangazie jipange wenye ndoa atujitangazagi utaona kadi tu hahahahaha

    ReplyDelete
  2. Mama jipange sawa sawa usije ukaishia kuzalishwa tu, maana ukishazaa huyo bwana ana hiyali akuoe au atunze mtoto, ndo mana wengi husubili ndoa kwanza ndo mambo mengine ya fate

    ReplyDelete
  3. Hana jipya huyo anajiuza, alienda bukoba akatombwa na kicheche wa mji wa bukoba Rahimu kabyemera.

    ReplyDelete
  4. hatujakuuliza alikazwa na nani, kwamba unamjua saaaana, shiiiiiiiiiiiiiit

    ReplyDelete

Top Post Ad