WEMA, PENNY WAIPASUA FAMILIA YA DIAMOND

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Stori: GLADNESS MALLYA NA CHANDE ABDALLAH

BOOOM! Katika hali ya kushangaza, mastaa wawili Bongo, mwigizaji Wema Isaac Sepetu na mtangazaji wa DTV, Penniel Mungilwa ‘Penny’ wanadaiwa kuipasua familia ya kinara wa Bongo Fleva, Nasib Abdul ‘Diamond Platnumz’, Ijumaa Wikienda lina ripoti kamili.

Kwa mujibu wa chanzo makini ambacho ni mtu wa karibu na familia hiyo kuna mgawanyiko ambao umesababisha mpasuko unaofanya familia hiyo kuwa na makundi mawili yasiyoelewana juu ya uhusiano wa Diamond na warembo hao.

Kwa sasa Diamond anatoka kimapenzi na Wema baada ya kumwagana na Penny lakini mtangazaji huyo anadaiwa kuendelea kwenda katika familia hiyo kwani asilimia kubwa inaonesha anakubalika zaidi ya wengine wote.


TEAM PENNY VS TEAM WEMA
Habari zilidai kuwa mpasuko huo ni mkubwa kwani kundi moja linalojiita Team Penny linamkubali zaidi Penny na lingine ambalo lina watu wachache Team Wema linamkubali Wema. Imefahamika kwamba kundi linalomkubali Penny na kumuona ndiye mwanamke sahihi kuwa na Diamond japokuwa wameshaachana ni Mama Diamond mwenyewe, Sanura Kassim ‘Sandra’, dada zake Esma Platnumz, Queen Darleen, Anko na dada wa hiyari wa Diamond, Halima Haroun ‘Kimwana’


Ilidaiwa kwamba kundi hilo limekuwa likitoa ushirikiano wa karibu mno kwa Penny na sehemu nyingi wanakuwa wote ikiwemo kwenye sherehe na viwanja vya starehe, yaani ni fulu kujiachia.
Habari hizo zilidadavua kuwa hata dada wa Diamond, Esma anaishi nyumba moja na wifi yake huyo wa zamani.

“Familia ya Diamond imegawanyika katika makundi mawili, kundi kubwa linamkubali sana Penny japokuwa alishaachana na Diamond. Ilisemekana kuwa si familia tu kwani hata madansa wa Diamond wanampenda sana Penny kuliko Wema,” kilisema chanzo.


TEAM WEMA HII HAPA
Uchunguzi wa wanahabari wetu ulibaini kuwa ndani ya kundi linalomtaka Wema kuna watu wachache akiwemo Diamond mwenyewe, baba yake, Abdul Jumaa ambaye kwa upande wake alitamka wazi: “Wema ndiye mkwe wa ukweli kabisa.”

Baba huyo alikwenda mbali na kusema anamkubali Wema kwa sababu ana nyota kali na ana roho nzuri hivyo akiendelea kuwa na mwanaye atakuwa na mafanikio tofauti na alivyokuwa na Penny.
Pia ilijulikana kuwa kundi hilo lina mtu mwingine, ndugu wa Diamond aitwaye Rommy Jones ambaye amekuwa akionekana na Wema mara kwa mara hasa wakati msanii huyo akiwa amesafiri.

HALIMA KIMWANA AITWA KIGEUGEU
Taarifa nyingine zilidai kwamba katika sakata hilo, Halima kimwana amekuwa akiitwa kigeugeu kutokana na kutokuwa na upande anaosimamia. “Mara utamuona na Wema ghafla unamuona tena na Penny, yule hata haeleweki. Anajichetua sana,” kilisema chanzo chetu.

MAMA DIAMOND ANASEMAJE?
 “Mimi siwezi kumchagulia Diamond mwanamke wa kuwa naye, yeye mwenyewe ataamua kwa sababu ni mtu mzima kwa hiyo siwezi kumpangia au kumchagulia mwanamke wa kuwa naye,” alisema mama Diamond bila kukanusha kuwa na ukaribu zaidi na Penny.

MSIKIE HALIMA KIMWANA
Baada ya kuwatafuta Diamond, Wema na Penny bila mafanikio, Ijumaa Wikienda lilizungumza na Halima Kimwana ambaye alikuwa na haya ya kusema:
“Sisi tuko karibu na Penny kwa sababu anapenda kujichanganya na sisi hivyo hata Wema akija kutuchukua na kutaka twende naye klabu hatukatai kwa sababu wote ni mawifi zetu.
“Hatubagui kwani hakuna siku ambayo Wema alishataka kuwa na sisi tukamkatalia.”

MASWALI
Hivi karibuni picha za Penny akiwa na mawifi zake kwenye shughuli ya kumtoa mtoto wa ndugu yao zilivuja ambapo ndani ya sherehe hiyo pia Diamond alikuwepo akiwa anacheza dufu lakini Wema hakuonekana, jambo lililozua maswali.
GPL

----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

20 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. penny jipendekekze tu pumbu we!!!

    ReplyDelete
  2. Msilolijua Kama usiku Wa gizaaa esma platinum wanasagana Hiyo nayo ni chachu ya kuongeza ukaribu

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kuna picha esma katumbukiza dole lake mdomoni mwa penny,yani mtu unaweza tumbukiza likidole mdomoni mwa wifi yako?heshma gani hiyo?wasagaji wakubwa,mi ningekuwa nasseb nisingeoa mjini,misichana imearibikaaaaa matabia mabofumabofuuuuuu.Mlaaniwe mbwa nyie.

      Delete
  3. Li penny bwana masigara,Mapombe Kama dume?eti kuiga mambo ya ulaya.

    ReplyDelete
  4. Penny alishakwambiaaaaa Mali za Naseeb wamechuma wote sasa mnategemea nini?yeye Yuko hapo kimaslahi na Si mapenzi,diamond alivyokuwa Mbagala wema ndie alikuwa nae.Leo kapata penny angangania,unajisumbua penny,diamond atakujaga oa kwengineeee Si wema Wala penny,natabiri.

    ReplyDelete
  5. Penny uoni haya kutembea na chief kiumbe????mboni show kamata mwiziiiiiiiii

    ReplyDelete
  6. PENNY MAHABA NIUWE TUPA KULE. BABA KASEMA KWENI WEMA ANA NYOTA KALI MFANO: DIAMOND AMEZIDI KUWA NOMINIZ KWENYE TUZO ZA KIMATAIFA ZAIDI....... WEMA NDIO HABARI YA MJINII

    ReplyDelete
  7. Diamond ni wakugombaniwa kweli?????AMA kweli pesa mwanaharamuuuuu!!!!

    ReplyDelete
  8. Tushachoka na hizi habari upuuzi mtupu

    ReplyDelete
  9. heri anony 9:51am uulize :-) wanawake tunajirahisi sana, hatuna mawazo mengine zaidi ya kushadadia wanaume!

    ReplyDelete
  10. Tusipoteze muda bure kudiscuss hawa mburura. Hapo Diamond anampenda Wema full stop, Penny shika njia uendelee ya yako hao mawifi njaa wanakuchuma tu hawana lolote, na wewe Halima Kimwana angalia yako acha kujifanya kutwa kucha uko bussy na mahusiano ya Diamond utadhani ni dada kweli wa damu kumbe undugu wenyewe wa kuunga unga na gundi tu.

    ReplyDelete
  11. Wema ndio mpango mzima apana penda penny mimi

    ReplyDelete
  12. Esma anasagwa na penny ss diamond atatoa msagajiii si atafilwa

    ReplyDelete
  13. Diamond keshafika kwa Wema hao wengine hawana umuhimu. Zakayo ucpoteze mda wako bure wanakudanganya tu hao.

    ReplyDelete
  14. Wema kweli anampenda diamond kamuacha Clement pedeshee la ikulu?asalaleeee

    ReplyDelete
  15. No money no Honey,fuck all are bitches less wife material...Diamond tulia usije ukatulizwa na futi6 chap chap sisi tutakusahau tu kama waliokutangulia

    ReplyDelete
  16. Kuma pumbu wotenyie mliokoment

    ReplyDelete

Top Post Ad