Irene Uwoya Ajibu: “Kweli nina Mahusiano ya Kimapenzi na Msami na Tumeanza Siku Nyingi

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Jana May 28 kupitia You heard ya XXL Clouds FM ilikua ni stori kuhusu uhusiano wa Msami wa THT na mwigizaji toka Bongo Movie Irene Uwoya na jana alisikika Msami ambaye alikanusha uhusiano lakini mpenzi wake Rehema aliweka wazi kuwa ni kweli Msami ana uhusiano wa kimapenzi na Irene Uwoya.

Sasa May 29 2014 ishu hii imeendela ambapo katafutwa Irene Uwoya na kuulizwa na Soudy Brown kama ni kweli ana uhusiano wa kimapenzi na Msami na swali la kwanza lilitaka kujua uhusiano wao umekuepo toka lini?

Irene Uwoya: ‘Siku nyingi’
Soudy Brown: Msami kama namuona, unampa huduma zote?
Irene Uwoya: ‘Sanaaa kila kitu’
Soudy Brown: Uhusiano wenu utadumu au ndio kama wa Ndikumana?
Irene Uwoya: ‘Yakudumu kwa sababu nampenda’.
Soudy brown alimpa Irene taarifa kuwa mpenzi wa zamani wa Msami amekasirika kwa sababu Irene kaingilia mapenzi yao jibu kutoka kwa Irene likawa ‘hiyo haijalishi kwa sababu nampenda
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

12 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. daaaah dogo unafaidi ila mkapime

    ReplyDelete
  2. Hivi wewe irene huna hata aibu we c mke wa mtu tena wa ndoa uliamua mwenyewe kuolewa unaitia aibu familia yko

    ReplyDelete
  3. Wewe hayajakusu maisha yake mwenyew unamaind kitu gani kama tako lake mwenyewe. Dodo anafaid. Kama kuma yake mwenyewe dogo anafaid.

    ReplyDelete
  4. Naskia ao mastaa wa kibongo wanatowa migongoo tigo sana kwaiyo ukimpata owoya wema untyzeky sijui na masogange. Apo utapewa tako mpaka basi

    ReplyDelete
  5. Basi sawa kama ndio sifa

    ReplyDelete
  6. irene ungeolewa basi ndoa ya bomani utulie. Yaan unatia aibu kwa kweli .

    ReplyDelete
  7. Irene umeanza vituko tena,wazazi wako wastaarabu sana ila wewe sasa hadi kinyaaaa.

    ReplyDelete
  8. Jaman kuolewa sio kila kitu, km huna furaha kwenye ndoa yako na umejarb umeshindwa uendelee tu kuwepo ili uwafurahishe waja! Msimuhukumu dada wa watu! Only God can judge us...

    ReplyDelete
  9. nyie wasanii wa kibongo hv mnaona usupastar no kubadilisha mabwana au?!hebu mrufien mungu hamuoni majanga kila cku yanawakuta...!

    ReplyDelete
  10. Irene kaathirika tena anakuja kila mwezi kliniki kwetu kuchukua arv, na mimi nilijitosa humohumo japo kwa kutumia dume

    ReplyDelete
  11. Kampata aliyeathirika mwenzie wanafanya maisha,tatizo nini?

    ReplyDelete
  12. YAANI HUYO UWOYA HATA NIKIMKUTA KABONG'OA HATA MBOO HAIDISI KUMAMAKE YUPO TOO FAKE!

    ReplyDelete

Top Post Ad