Kinara wa Kusafirisha Mabinti Kutoka Tanzania kwenda India "Human Traffick Biz"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Wakifika India hunyang'anywa passport mpaka watakapomaliza kulipa $ 4000
Wengine hulazimishwa kufanya kinyume na maumbile
Gossip Court imefanikiwa kupata Chats za Whatsapp

Iko hivi, kama binti anataka kuja huku india ye yuko Tanzania anaunganishwa na Shumy halafu Shumy anatumiwa picha za mabinti sasa hapo inategemea na uzuri wa binti,maana Shumy anasafirisha mabinti wakali tu,then Shumy akiwapenda anawatumia pesa ya VISA kwa ajili ya hao mabinti ambayo ni 70,000 za kitanzania kila mmoja,halafu wakishapata Viza anakata ticket huku India then anawatumia kwa E-mail wanaprint Tanzania halafu wakifikia India wananyang'anywa passport mpaka watakapomaliza kulipa deni la $ 4000,na kazi wanayofanya ni kujiuza mitaa ya India na akimaliza kulipa deni anarudishiwa passport yake na anakua huru kuamua anarudi Tanzania au anabaki huku,asilimia kubwa wanabaki huku na wanaolewa ndoa zisizo rasmi na wanigeria,wakongo ama raia wa nchi zingine maana wahindi wao wanaoana wao kwa wao.Na kwao huko Tanzania wanajua mabinti wamekuja kutafuta kazi wengine wanadanganya wanakuja kusoma,na hata wale wanaokuja kwa nia ya kusoma pia nao wamo katika hili la kujiuza,chanzo hicho kilisema.

Chanzo chetu kiliongeza kua "Hakuna ambae yuko India hajui hiyo biashara ya mabinti kusafirishwa kuja kufanya umalaya huku na wengine hutoka bila kutumia kondomu na wengine walishawahi kupata mimba"

----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

8 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. hii noma sana biashara ya kuzaa watu

    ReplyDelete
  2. we! kuma!! sio kuzaa ni kuuza!!

    ReplyDelete
    Replies
    1. matusi sio kufunisha. Amekosea kama mwanadam mweleweshe.

      Delete
    2. We kuma sio "kufunisha"kufundisha!

      Delete
  3. eeeeh...eti kuzaa...matusi ndo mpango mzima.

    ReplyDelete
  4. Shumileta unatuulia dada zetu

    ReplyDelete
  5. Nana na 10:49 mnatombwa na majini kuma mamaye zenu mnafilwa mbwa nyie

    ReplyDelete
  6. Hii ni ya ukweli kabisa, mm niko mji wa bangalore na ni kama alivyosema, ila waganda ndo wamezidi vibaya mno kwenye hiyo biashara

    ReplyDelete

Top Post Ad