KUHUSU MLELA KUWA TEJA LA MADAWA YA KULEVYA..

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

NYOTA wa filamu za Kibongo, Yusuph Mlela amedaiwa kugeuka teja (mbwia madawa ya kulevya) hali inayomsababishia ashindwe kujichanganya na wasanii wenzake katika shughuli mbalimbali.

Kikizungumza na Amani juzikati, chanzo  kilisema msanii huyo kwa sasa anavuta unga kiasi cha uteja kujionesha waziwazi na kupoteza mwonekano wake wa zamani.
Juzi, paparazi wetu alimtafuta Mlela na kufanikiwa kumpata nyumbani kwao Kinondoni jijini Dar es Salaam ambapo alikuwa na haya ya kusema:

“Katika maisha yangu sijawahi kutumia madawa ya kulevya na huwa nayapinga sana. Wanaosema navuta ni waongo, mimi sasa hivi naitwa baba, hivyo majukumu yameongezeka ndiyo maana sijichanganyi kivile.”


----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

7 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Washaona fashion acha yawafile

    ReplyDelete
  2. Hakuna mtu anayekubali kama anabwia unga mpaka athari zionekane,huwa hawakubali kamwe

    ReplyDelete
  3. Kama ni mteja sasa anaelekea kufirwa ndugu zake wamsahidie mapema

    ReplyDelete
  4. Jeez i wish i cud date him

    ReplyDelete
    Replies
    1. negro perigro1 May 2014 at 23:54

      Go suck your father's dick... stupid slut! Fuck you, dumbass motherfucker!

      Delete
  5. unga si mzuri jamani mnaupendea nini

    ReplyDelete

Top Post Ad