Nguo ya Ndani ya Shemeji Yangu Imenishangaza Sana

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Jana nimeshudia kitu cha ajabu sana na cha kushangaza nimejizuia kucheka lakini kiukweli nimeshindwa
Nina swaiba wangu tupo ofisini pamoja na ni marafiki sana leo tumekubaliana kukutana Bar moja ipo hapo kwa remmy ila ghafla jamaa akanipigia simu nipite kwake kwanza tupate baraka ya pamoja kutoka kwa shemeji (mke wa mshikaji)poa mimi nikafanya hivyo kufika kama kawaida mke wa jamaa alinipa juice tukiwa tunapiga stori moja mbili ghafla mtoto wa jamaa katokea chumbani kwao na CHUPI ya mke wake akijaribu kuivaa
Chupi ilikuwa chafu sana maana ilikuwa nyeupe na inaonekana ilikuwa haijafuliwa 
Kha mke kuona hivyo haraka akampokonya mtoto na kuikimbiza chumbani
Ki ukweli nilijizuia kucheka lakini nilishindwa
Baadae tulisepa na jamaa nipo naye hapa miller tunapiga moja mbili na stori
Kaona noma sana ila kwa pamoja tumekubaliana tumejifunza kitu
Unapokuwa na watoto wadogo hivi vitu tuwe tunaweka sehemu wasiyoweza kufikia
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

11 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Chumba chako cha kulala ni mwiko kwa watoto kuingia kiholela. Chupi ukieoga ni lazima unaipsha, sasa hiyo chafu ilitoka wapi kuweni wasafi jameni na tuwaje aibu ndongo ndongo.

    ReplyDelete
    Replies
    1. kajifunze kiswahil ndugu nahc ata kukiongea ni shidaaa

      Delete
  2. Du"anatisha au mama wakati analiwa mzigo naona aliisahau kitandanini inaelekea anavaa chupi cku mbili mtoto aki na ukwa nini?

    ReplyDelete
  3. Wana Lala na watoto chumba kimoja ndo mazala yake hayo

    ReplyDelete
  4. jaman muwaweke watoto kwa vyumba vyao, sasa io ni aibu hapo juu

    ReplyDelete
  5. Fala ww ss chupi ya shemejio unaitoa humu mtandaoni,ina maana hata huwezi kuficha siri za mpenzi, ndugu rafiki zako.Unataka kuwa Shigongo nn?

    ReplyDelete
  6. Story na picha haviendani ni vya kuunga unga tu.

    ReplyDelete
  7. Kuna chupi nyeupe hapo?we ni kuma sana ujue,msenge tu..

    ReplyDelete

Top Post Ad