Tibaijuka Kikaangoni, Maji yamfika Shingoni Bungeni, CCM Waitana

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Bajeti ya Wizara ya Ardhi na Makaazi iko katika ati ati ya kupitishwa na bungeni leo hii. CCM baada ya kupima upepo wameita wabunge wao mapema wakutane baadae ili kuokoa jahazi.

Hotuba ya waziri prof..Tibaijuka ambayo imekuwa tofauti kabisa na ile ya kamati ya bunge juu ya wizara hiyo. Hotuba ya kamati imekuwa chungu mno.Imeibusha uozo mwingi ndani ya wizara.

Aidha, kama haitoshi hotuba ya waziri kivuli kwa wizara hiyo mh.H.Mdee imeanika ufisadi mkubwa ndani ya wizara hiyo,hususan kwenye suala la kigamboni na chasimba mkoani Dar es Salaam.

Pia,wabunge wengi wanaosimama wanasema hawaungi mkono hoja ya waziri. Kwa jumla,prof.Tibaijuka leo maji yamemfika shingoni.

Hata hivyo,kwa kuwa wabunge watetezi wa ufisadi na wanafiki wameitana basi wote tunatarajia wataufyata.Mikia yao wataiweka katikati ya miguu kama mbwa mwoga afanyavyo.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

16 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hii ndo Tanzania....nchi yenye udongo wa Dhambi!!

    ReplyDelete
  2. bora isipitishwe maana ni manyanyaso sana upande wa ardhi wanathaminiwa wageni

    ReplyDelete
  3. Haka kamama cjui vp?!?! Watu wako serious wanakaeleza jinsi gani hakako makini na wizara yake badala kasikitike na yanayosemwa kanacheka tu! Kalivyokomaa na tabasam lake km kanalia yani kameniudh kwel time Halima Mdee alivyokua anasoma hotuba yake.

    ReplyDelete
  4. Km huyo mchechu nae hovyoooo.kaz Kula tu hela kwa matajiri na wahindi mpuuz sana.hlf kaongezewa mfa wa ukurugenzi.nchi hii bwana uozo mtupu kupeana tu madaraka kipumbavu.

    ReplyDelete
  5. Mchechu jenga nyumba za masikini ukifa ukumbukwe ,

    ReplyDelete
  6. ccm wotewezi

    ReplyDelete
  7. Mchechu ni fisadi papa mamaeeeee utakufa vbaya.

    ReplyDelete
  8. Tibaijuka ni fisadi tu kama ma -ccm wenzake.

    ReplyDelete
  9. mchechu ni nani wadau, mnijib plz cmfaham , ni boss wizara ya ardhi? Au

    ReplyDelete
    Replies
    1. mchechu ni fisadi mkurugenzi wa nhc mpuuzi sana ana kazi ya kutuongezea kodi nyumba hakuna matengenezo zaidi yq kupaka rangi nje tu kwa kweli. wapangaji hatuna haki ukilalamika unakuja tolewa kwa nyumba kwa kweli hatuna haki wapangaji wa nhc shekilango kutwa tunaongezewa makodi jamani tuhurumieni

      Delete
  10. harima mdee leo amekashika ka-mama ka ki-haya kametoa macho utafikiri shoga kashikwa matako

    ReplyDelete
  11. Hivi nyie sijui CHADEMA a.k.a.ukawa,udaku,wapekuzi,n.k.nyimbo zenu za kuibua mafisadi kila siku bila ufuatiliaji, sasa imekuwa kama umbea. Inawezekana mnatunzunguka sisi wananchi, mnaibua ufisadi mkiwa mnatengeneza dili, mkisha fanikisha dili, mnaanzisha jipya. Tumewajua na tumewachoka,upelelezi wenu juu ya ufisadi pelekeni TAKUKURU SIO BUNGENI KUPOTEZA MUDA KWA MASLAHI YENU HALAMU.

    ReplyDelete
    Replies
    1. We mkundu unamaslahi na huyo bwenga nini maana sijakusoma kabisa unacho jaribu kutetea kuma kibuyu!

      Delete
  12. Wemsenge kama wewe ni mhaya basi mwambie kuma mwenzio akalime ndizi bukoba atuachie ardhi yetu.

    ReplyDelete
  13. TIBAIJUKA HAKUBANWA CHOCHOTE NA WAZIRI KIVURI KIFUPI,KILICHOKUWA KIKIENDELEA NI PROPAGANDA CHAFU ZILIZOELEKEZWA KWA WAZIRI BADALA YA WIZARA. MDEE YEYE ALITUMWA NA KITENGO CHA "MAWE"...MEN AGEINEST WOMEN EMPOERMENT..WAKINA MAMA NAWATAARIFU LEO TIBAIJUKA KESHO NYIE WAKIFUTA VITI MAARUMU..........

    ReplyDelete
  14. TIBAIJUKA HAKUBANWA CHOCHOTE NA WAZIRI KIVURI KIFUPI,KILICHOKUWA KIKIENDELEA NI PROPAGANDA CHAFU ZILIZOELEKEZWA KWA WAZIRI BADALA YA WIZARA. MDEE YEYE ALITUMWA NA KITENGO CHA "MAWE"...MEN AGEINEST WOMEN EMPOERMENT..WAKINA MAMA NAWATAARIFU LEO TIBAIJUKA KESHO NYIE WAKIFUTA VITI MAARUMU..........

    ReplyDelete

Top Post Ad