Ufuska Bongo Movies Wamkosesha Deal Mwigizaji Nora

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

MWANADADA wa ‘long time’ kwenye sanaa ya uigizaji amejikuta katika wakati mgumu baada ya kukosa dili za kazi za maana kutokana na tabia za kifuska kwa baadhi ya wasanii wa kike wa Bongo Movie.
Akipiga stori na paparazi wetu, Nora alisema amekuwa akitembelea katika ofi si mbalimbali
na kila anapojitambulisha kwamba ni msanii wa fi lamu watu wanashtuka na sehemu nyingine anakosa dili za maana kutokana na uchafu wa baadhi ya wasanii hasa wasagaji na wanaojiuza.

“Yaani naona aibu sana kujitambulisha kwenye ofi si za watu kwani kila ninakoenda na kujitambulisha watu wanaanza kunong’ona huku wakidai kwamba wasanii wa kike wa fi lamu wana tabia chafu wakati tunachafuliwana watu wachache tu wasiojiheshimu,” alisema Nora.
Stori:GLADNESS MALLYA, GPL
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

9 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. alikuja ju kuigiza but kazimika kama kibatari

    ReplyDelete
  2. Yy mwenyewe kaacha nyonyo lake nje na kiuno biashara matangazo! Anajiheshimu nn sasa?

    ReplyDelete
  3. kama movie sa ulaya wangekuwa wanaangalia maisha binafsi ya mtu sidhani kama wangekuwa walipo sasa....ni mwili wako, aliki yako na jamii yako wewe ndiyo inayokuangalia the rest dont give shit

    ReplyDelete
  4. laana ya kuiba mume wa mtu inakutokea puani hapo ndio kwishnee mume kafa hujui tena pa kuanzia

    ReplyDelete
  5. Hayo ndo madhara ya kuiba waume za watu kukimbilia hali nzuri ya maisha!hivyo ni visingizio tu wala nn umeishiwa.

    ReplyDelete

Top Post Ad