Maimartha Atuhumiwa Kuwauzia Mastaa Dawa za Kukuza Makalio

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

 
MTANGAZAJI aliyepata kuwika katika vituo mbalimbali vya runinga Bongo, Maimartha Jesse, amedaiwa kuwauzia mastaa wa mjini dawa za kuongeza makalio.Habari za moto kutoka kwa sosi wa kuaminika, zinasema kuwa Maimartha ambaye pia huitwa Mai amefikia hatua hiyo baada ya yeye kutumia na kufanikiwa.

“Hamshangai siku hizi kila staa anaonekana kuwa na makalio makubwa? Ni kazi ya Mai hiyo. Anafanya hiyo biashara muda mrefu sana. Ni za kunywa na kupaka.

“Mbona hata yeye ametumia dawa hizo muda mrefu sana? Ukimwangalia utagundua zamani hakuwa na hipsi za kiivyo. Ni kwa sababu ya dawa,”  alisema sosi huyo.

Akaongeza: “Hata Lulu Semagongo (Aunt Lulu)   ndiye aliyemsababishia kuwa na makalio makubwa kwani wakati wako karibu alikuwa akimpa dawa hizo.”

Waandishi wetu walifika dukani kwa Mai bila kujua kama ni waandishi na kuulizia bidhaa hizo ambapo zilitolewa, wakapiga picha bila kugundulika.

Mai akiwa hajui kuwa yupo mikononi mwa mapaparazi waliokuwa na njaa ya habari, aliwaambia: “Ni dawa nzuri, mara moja zinarekebisha umbo na unakuwa wa kuvutia. Kuna za shilingi 250,000 na 260,000 inategemea kama ni vidonge au losheni.”

Mapaparazi wetu walipompigia simu Mai baada ya kutoka dukani hapo na kumweleza kuhusu uuzaji wa dawa hizo dukani kwake, alisema duka lake linauza urembo wa aina zote kwa mastaa na wasio mastaa.

“Kama nimetumia dawa za kuongeza makalio, nyie inawahusu nini? Kifupi duka langu linadili na urembo wa aina zote,” alisema Mai akishindwa kufafanua zaidi.

Lulu alipovutiwa waya na kuulizwa kama makalio yake ni matokeo mazuri ya dawa za Mai alisema: “Sijawahi kutumia dawa za Mai kwa ajili ya kuongeza makalio.

Yangu ya asili lakini watu wakinipigia simu na kuniuliza dawa za kuongeza makalio huwa nawaelekeza kwa Mai.”
Stori: : Hamida Hassan na Gladness Mallya, GPL
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

10 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. ni shidaaaa, manyonyo je

    ReplyDelete
  2. wapewe na zakupunguza nyapu zao maana so wide

    ReplyDelete
  3. yaani nyie wanaume mnatupa shida sana jamani yaani tunafanya haya yotee ili mtupende tuu daah haya sijui ni kitu gani kimebaki tufanye!!!

    ReplyDelete
  4. Na zakuongeza ukuni zipo?

    ReplyDelete
    Replies
    1. umefufuka best....ukuni utapitiliza....be aware..huyo maimatha kichaa......

      Delete
  5. jamani eee hebu gundueni na dawa ya kumfanya mtu arefukee mi natamani ningekuwa mrefuuu

    ReplyDelete
  6. kwani si ni urembo tu au kwavile mai ndiyo maana cZ kuna matangazo ya hizo biashara kila kona na saa zingine uyo paparazi nae kazitumia kweli chezea mvuto weeee

    ReplyDelete
  7. Replies
    1. Nana ipo kinakuwa kikubwa na kipana sema kuma linakuwa na sura mbaya kama nyama za konokono!ila kyma inakuwa tamu cos hio,minyama mboo ikiingia huwa inakamata vizuri so hata kama kuma ni bwambwa inaonekana taiti!nitafute nikusaidie Nana.

      Delete
  8. Duuuu....hii ni shidaaaa,,..

    ReplyDelete

Top Post Ad