Ally Kiba kwenye Planet Bongo, Sasa nimeelewa kwanini hakui kimuziki

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



Katika segment ya KITENGO, leo katika Kipindi cha Planet Bongo Kinachorushwa EATV: Host Abdallah Ambua Alimtembelea Msanii Wa Muziki wa B'flava, Ally Salehe Kiba, nyumbani kwao anapoishi yeye na familia yake kwa ujumla::

Nilikuwa na shauku ya kusikia nini ambacho Ally K angekizungumza kuhusiana na Muziki wake kwa ujumla na hii ''Backwardness'' yake licha ya kuwa msanii mkubwa na anayependwa zaidi Bongo; After Interview Nilijifunza vitu vifuatavyo:

Kitu Cha kwanza ambacho kilinistua ni Kuona Setup ya Location ambayo waliichagua kufanyia Interview, Lazima niseme wazi haikuwa Kwa Hadhi yake - Hata km ni usimple, that was too much... Kwa ufupi ilikuwa ni Unprofessional !! Walikaa on a rough and shabby set mpaka nikawa naichungulia mara mbili mbili.

Kingine ni the way anavyojichukulia: Ni mtu ambae anaonesha kama ndoto zake zote kimuziki zimeshatimia, Especially kufanya kazi na msanii mkubwa duniani , R kelly: He sounded like Nani kama mimi in Tz... HAKUNA !

Pia; Namna alivyokuwa anazungumza na kujibu maswali, Haonekani kuwa na strategy zozote za kuukuza Muziki wake na kufanya kitu ambacho mashabiki wake wengi wanakitarajia Aidha ni kwa kutopenda kuanika mambo yake (maybe) lakini as an artist hakuwa na ile promising attitude..

Mengineyo:

Hakuvaa vizuri, Hakuwa na ile starlook kabisa, He looked more of An Underground artist:


My Take:

Inakatisha tamaa kuwa mshabiki wa msanii ambae hana hata dalili za kukata kiu yako kama mshabiki. Ni kwa vile anajua kwamba we are addicted to his music au ni nini?

Ifikie hatua mshkaji ajiongeze kidogo, Music is Business, Na luckily he's on a high demand, Ningefurahi kama angejikagua tena na kufanya kitu ambacho shabiki zake wanapenda.

Nisingependa kumtaja; Lakini Diamond is a nice mirror to look at : Sio dhambi Kuiga vitu vizuri.


NAISAPOTI..................... .......

#BringBackOurArtistCampaigne
#ALLYKIBA

----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

40 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. kumanyoko zako wewe unataka. kutuletea team huku unajishaua kama mwanamke na vimaneno vyako vya kihaya kaongee na mkeo nyumbani kwako bwege we, kiba sio misifa kama huyo dadaenu uliemtaja hapo

    ReplyDelete
    Replies
    1. Well said. Jama ile sio sporah show, huyu alieandka huu utumbo angeakiwa anaangalia na mtv, au bet n so on. Ile sio interview, ilvotengenezwa ni.kama kadocumentary kafupi.. Naelewa producer alkua anafkiria nin kwa ile location.. location iliendana na kipind na mazungumzo ya ali kiba. Alikua anaongelea alipotoka, so kulikua kuna ulazima wa kuonyesha hali flan lyk "i'm from the hood-" kuna ushamba upo bongo wa kujipigilia kila sehem. Kila movies nw actors wanashindana kuvaa vzur, lakin jiulize 12 years a slave imeshndaje tuzo.. Tutashindwa kla siku tuzo.. big up kwa producer wa ile session!

      Delete
  2. munaompenda diamond nawasamehe kwasababu hizo sio akili zenu,subirin nguvu za uchawi zipungue muone.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Nakuungaje hivi atawariga mpk lini kwn kuvaa vizuri ndiyo zingine wazaazima madukani boya wewe kwnn usionenye unavyoishi na uache kuishi kwa utumwa wa kuiga kiukweli hauko sawa hizo ni akili finyu na kumanina ningekufahamu ningekutia vidole vya matako na diamond atawafira wote maana kila kitu diamond umaskin huo msenge wewe

      Delete
  3. Amuache kiba miaka 800

    ReplyDelete
  4. Ulitak ajipake make up kama d domo ndio uone kapendenza mxiuuuuu big up ally k

    ReplyDelete
  5. Ulitak ajipake make up kama d domo ndio uone kapendenza mxiuuuuu big up ally k

    ReplyDelete
  6. the fact that he did the interview n wasted his tym u should be greatful for dat. n u wanted akubebe ndio ujue hana dharau? u sound sooo judgemental n did u want him to wear few gold chainz to have a star look? allykiba ni mstarabu wacha panganga nyingi grow up ww

    ReplyDelete
  7. Aaaaaaaaaaaaaaaaaa unataka apake wanja

    ReplyDelete
  8. Alikiba n mkali xijakataa lakin hawez biashara ya mzik.akiendelea bc atapotea.aige wenzake kama rich,ommy na mkali wa east afrca dai

    ReplyDelete
  9. Tatizo huyo mnaemshabikia hana mbinu za ushindani na soko la ss kimuzi,mbona hasikiki? Kipaji kwa kiba kipo sn tatizo mbinu za kukabiliana na ushindani kimuziki hana! Nyie tukaneni but huo ndo ukweli..

    ReplyDelete
    Replies
    1. point!!!!!!Kiba tunampenda lakini kaishiwa kimuziki so sad!!!

      Delete
  10. Udaku bwana,we unavaaga vizur???acha kukalili bwana...diamond kaingiaje hapa?kila mtu na life lake...interview ilikua nzuri wengine tumeipenda...

    ReplyDelete
  11. very fact alikiba kufanya kazi na r.kelly akaona amemaliza wakati yuko hoi hae sasa .....liv it to diamond mpango mzima...usione haya muombe hata korabo la sivyo.......

    ReplyDelete
  12. Kiba ni the best artist like christian Bella, hicho ulichoona kiba amefanya tofauti ndio unique yenyewe inayomfanya aitwe star, sasa weweeee!! ulitaka kiba apake lipstick kama Almasi? Acha ushamba mfuaatiliie Mutukuzi uone jinsi alivyo wa pekee, the guy is too simple, domo ana upekee wake na kiba anao wake, au kwa vile ametulia muda mrefu? Mmh ushamba wako huo utachekwa siku nyingine

    ReplyDelete
    Replies
    1. Ametulia anafanya nini? Kubalini kila mtu na wakati wake,sasa ni wakati wa Diamond hata yeye pia wakati wake utapita mwambieni kiba afanye kazi.

      Delete
    2. Point..!!kila mtu ana upekee wake hata hivyo kwa muonekano na historia hawaelekean kabisaaa sasa kwann wafanane saiv?!
      en kama anaonekana kimya na huyo domo yuko hot kwann mnamzungumzia?!
      Mpambanishen domo bac na wenzio wanaoendana ulimbukeni

      Delete
  13. Mnaosema tusubiri D nguvu za uchawi kwa hiyo Kiba naye uchawi umeisha eenh? Maana choka mbaya sasa nyie mnaompenda mshaurini afanye kazi acheni kumpa sifa za kijinga na yeye ndio maana anabweteka sikatai kweli ni muimbaji mzuri lakini anfanya nini miaka sijui miwli hana single ambayo inasikika zaidi ya ile kidela aliyoimba na ndugu yake,Mshuarini afanye kazi mtu ukimpenda mpe ukweli nyie mnamuharibu kiba anabweteka siku hizi game ngumu siyo kama enzi zile.

    ReplyDelete
    Replies
    1. domo kamloga ndiyo mana domo chawi sana

      Delete
  14. maisha yk ally kiba hapotei ng'ooo..... Yupo tangu kitambo watakuja watamuachaa yaan legendary huyo.... Acha kupenda ushoga na kupaka wanja

    ReplyDelete
    Replies
    1. Legendar?!? Watu wanapiga pesa! Nyie vp!

      Delete
  15. mashoga utawajua tu... Location na interview viliendana xana.... Na kuhusu mziki wangapi wapo eg celine deon hana nyimbo mpya ila yk on chart .... Da same kwa ally kiba still yuko juu maisha yk yt!

    ReplyDelete
  16. Hizo chuki binafsi kwa Ali k.

    ReplyDelete
  17. yangu macho nyie Paruaneni...

    ReplyDelete
  18. na we mpumbavu uliesema muda wa kiba umeisha funga bakuli lako mbona akina jide proffesa, ay, fid q na mwana fa mda wao haupiti? au utwambie utaisha lini

    ReplyDelete
  19. Kiba atabaki kuwa kiba daima...hana fake life...siyo uyo Domo wako unayemuona wewe kaacha kukaa nyumbani kwao kaenda kujibaniza kwenye nyumba ya mwanamke aliepangiwa na bwana mwengine....Siuoni huwo Ubabukubwa wake uyo Diamond

    ReplyDelete
  20. Jamaani watu mnatoka povu km mmekunywa juice ya omo inshort mkatae mkubali alikiba atakufa maskini kwa jeuri yake na ameishiwa km hatobadilika ataendekeza uswahili bc hn chake ss hv huyo mnaemuita domo mara mchawi lkn si mnaona juhudi zake kiba kua bdilika acha uswahili wew kiba fani yako kuwatomba tu wakina lulu na kuzalisha hapo una three kid aaahhhh km ubadilk kiba hutokaa ukagika mbali umekalia majungu mwenzio dai yuleeeee sio level yako pimbi wewe kiba mswahili sana na huo ndo unaua mziki wako shauri yako lewa sifa wkt unakufa maskin

    ReplyDelete
    Replies
    1. Nakuunga mkono huyu bwana mdogo mdomo mwng muziki ushamshinda dai kaleta mapinduzi nyie wasenge mnaongea hapo juu hv kibongo bongo kuna wakumkamata dai au mnalopoka tu km mpo chooni dai anajitambua wew kiba uwezo wa kuimba unao ila ushamba na ulimbukeni unakulostisha angalia gemu linaendaje na wew utoke vp mtoto wa kiume acha majungu urogwe kiba kwa kipi wew mswahili sn kiba huishi km star upo upo huo usela mavi ndo unaokupotrza kiba huna thamani endelea na majungu uone km kuna mtu atakupa dili wew km bongofleva imekushinda kaimbe taarabu utawapata akina mama huko uwatombe labda watakutoa na ukiendekeza hayo majungu utapigwa pumbu mjini hapa

      Delete
  21. Aliyeandika hicho kitu ni mnafiki mnoo mbona Ally K kwny Intavyuu hajamtaja ata Domo.....sema nyie Mnataka Backup ya Domo kupitia kwa Ally k ase...Muachen Ally k bana hajawai wafata kwenyu na kuwaomba ata sh 10 asee muachen mtu wa watu

    ReplyDelete
  22. ali kiba he is da best

    ReplyDelete
  23. Huyo aliesema hv ni mnafiki nahanalolote ageuzwe tu awe dada tumuite shoga.muacheni kiba ashuke apande faida niyake nasiyenu.mshangilieni domo kwakuwa ndio Yuko mnaona anastahili.leave ali kiba out of this wewe shoga ambua

    ReplyDelete
  24. ALI KIBA mdogo wangu kuimba unajua na una sauti nzuri....ila kiukweli mdogo wangu inabidi ubadilikie mawazo yako yanaonekana yameshafika mwisho ubongo umesinyaa umelewa sifa za miaka ile amka ww wenzako wapo level zingine sisi mashabiki wako unatuboa.....

    ReplyDelete
  25. Mnaifahamu ngoma mpya ya kiba square inayoitwa PITA MBELE? au mnaongea tu

    ReplyDelete
    Replies
    1. UZALENDO NI KUTOA MAONI YENU AFABADIRIKE KIAJE NA MAMBO YAP AYAFANYE KM VP taja 1, 2,3.....CO MARA EEEEH AVAE VZUR!!!! kuva vzur ndo music AU MNATAKA KUOLEWA NN

      Delete
  26. Kweli kabisa, kufanya kazi na R kelly sio kuwini, angalia mwenzako Diamond anavyo hassle

    ReplyDelete
  27. Asee uelewa wa watu ni zero kabisaa humu jamani..!!kinachofanyika hapa ni kumuinua domo kupitia Ally.,hujiuzil mbona yeye hajishugulish kujua domo anafanya nin zaid ya kuona kila leo domo anamfuatilia Ally?!then kama ally yuko kimya wa nin kumzungumzia c wapo wengine wanaofanya mziki kwan ni yeye tu?!bac kama huyo mjinga hapo juu alivosema wapo akina Rich na Ommy wanaojitahid kupambana na Domo kwann sasa msipoteze mda weu kuwapambanisah na co Ally ambae anafanya yake?!fuhk who ever write this s2pdt story..!!thanks and byeee.

    ReplyDelete
  28. Ally sio mwanamuziki unaimba hili upate kick Kiba ni msanii anafanya kazi kama msanii yeye sio mvaa sketi kama daimond! and you Ambua you need to think like a man nilikua nakukubali but leo umeongea SHIT kabsa sasa angefanya hiyo interview OSTERBAY ndo angekua big artist au

    ReplyDelete
  29. any one how know ally kiba I need his contact Number pls email me ghafri75@gmail.com I to take him on very high next level ever on his life time his very good artist in East Africa we can put him on world music map as real artist

    ReplyDelete

Top Post Ad