Diamond Adhamiria Kumtoa Wema Kimataifa Amtafutia Madeal Makubwa Nje ya Nchi

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Wema Sepetu anatarajia kufanya filamu mpya na wasanii kutoka Ghana ili kutanua wigo wake filamu pamoja na kwenda kimataifa zaidi.

Akizungumza na 225 ya XXL ndani Clouds FM, mpenzi wake na Wema, Diamond Platnumz amesema tayari ameshamfanyia mawasiliano na wasanii wa filamu wa Ghana ili kuhakikisha mwaka huu anafanya filamu ya kimataifa.

“Hapa juzi kati kulikuwa na mazungumzo, kuna mtu mmoja anaitwa Frank yupo huko Ghana, ni mtu mkubwa sana, na yeye ndio anaandaaga zile tuzo za Ghana, kwasababu kuna movie anataka kuifanya baby. Hiyo movie wajue kabisa eeh Sepetunga kaachia mashine mpya. So jamaa yule ana link na watu wengi nikajaribu kuzungumza kuwapata actors na actress ambao anaweza kushirikiana nao kwa sababu namna pekee ya kuweza kutanua market yako katika kazi yoyote ni kushirikiana na mtu ambae yupo katika nchi nyingine ili kuweza wewe kupenyeza bidhaa yako wewe na yeye apenyeze bidhaa yake kwako,” alisema Diamon.

“Kama akina Van Vicker sijui akina nani, nimefanya mazungumzo nao kuangalia namna gani wanaweza kufanya movie na movie ifanyike Tanzania au ifanyike Nigeria au ifanyike Ghana. Ghana, Nigeria ni nchi ambazo zina nguvu kwenye soko la movie Afrika. Wakati nazungumza nao pia uzuri ilikuwa ni rahisi hivi baby kamlink sehemu yoyote ni rahisi sana kwa sababu kwanza ana content nyingi za movie zake. CV zake ni rahisi kumwambia mtu hiki na hiki, kwahiyo mtu akiona anashtuka, yaani mtu anakuwa excited kufanya naye kitu. So na wao pia kuna movie wanataka ashiriki uzuri pia wakasifika Kiingereza chake ni rahisi zaidi kufanya naye kazi. Kwahiyo mwenyezi Mungu akisaidia kuna mipango itakaa sawa basi mwaka huu utakuwa ni mwaka wake mzuri na zaidi nafikiri hata kabla hata mwaka haujaisha hii project itakuwa imekamilika labda inaweza kuwa out sijui yeye ndiyo anajua zaidi lakini. Wajibu wangu ni kutekeleza kuona kwamba baby amefanya movie na fulani na fulani kutoka nchi fulani na movie imekuwa fulani na kulingana alivyokuwa mwanzo na sasa hivi aonekane ame advance kutoka pale alipokuwa mwanzo.”
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

21 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. hapo diamond umepanuka kimazo,sasa mshauli aachane na mambo ya akina kajala pamoja na upuuzi mwingine unaompotezea muda.mawazo haya ungekuwa nayo toka zamani mngekuwa mbali.

    ReplyDelete
  2. Nimeipenda hii! Go Chibuu... Wema fanya kwel sasa

    ReplyDelete
  3. Sasa hivi kweli mmekua,hongereni.....OFF TOPIC;Dayna Nyange katoa wimbo mpya ' I DO 'ila cover ya single yake haivutii kabisa yaani ni kama hana washauri cover inavutia mtu kukushawishi kusikiliza kitu mbona kwenye instagram picha nzuri tu unazo ungezitumia,jitahidi kuzingatia hilo next time biashara matangazo.

    ReplyDelete
  4. safi diamond now u grown up twende kazi mama sepetunga

    ReplyDelete
  5. Diamond umetumia akili sn! Anaekutakia mema hakupi pesa ila anakutafutia kazi.alwayz mapnz tu hayatoshi nakushauriana ni muhimu.Huo ni msaada sn kuliko walowahi kumpa mipesa coz unamwonyesha chanel ashindwe yy tu.!

    ReplyDelete
  6. Sasa mmekuwa na akili mnaongea ya maana hizi ndo stori tunazozitaka wenye wivu wajinyonge,hongera chibuuuuu dangote,

    ReplyDelete
  7. Haki ya nani hawa watu hata wakija achana Awataacha kubanjuana wanapendana kiukweliiiii,natural love kutoka moyoni,Wema misukosuko yoteeeee yakutukanwa kwenye mablog,wapambe wanafikiri ndo watamvunjia penzi na baby Yake ,hawa watu tangu dangote mshambaaaa Wa mbagala wako na Wema,hawa Wa juzijuzi kuona diamond anashine ndo wanajitia I love naseeeb,nyooooooo mlikuwa wapi kipindi Naseeb anauza mitumba mbagala?nyooooooo

    ReplyDelete
  8. Wewe Chibu......Unataka kutumia Wema tu huna lolote......maana ni mjanja kwenye biashara zako....kwahiyo umeona leo utuijie na hayo maneno si ndio....sasa Ole wako tusiyaone yote hao Utatukoma....maana ww nimuongo muongo kwa hao wadada wa sasa ulishatudanganya umemnunulia Kidoti nyumba mbezi beach....mara umenunulia Penny gari kwa ajiri ya kumpeleka klinik sijui alikuwa na mjamzito...yaan ww ni muongo sna

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kidoti alipewa million kumi anunue gari,penny alinunuliwa gari pia,sasa uongo wake nini?nasikia wote wako standby wanadubiri Wema apigwe chini mmoja wao ajisogeze ili ale Hela vizuri.mademu bwana Malaya kweli,

      Delete
  9. Sasa wewe Almasi na wewe umeshakua sahizi hebu tulia na huyo wema, Tena unapendezana nae kweli nampendaga sana huyu binti ningekua na uwezo hakika ningemuoza kwa kaka yangu, Mungu akulindie wema wako, Tena umshauri aachane na marafiki wabaya kabisa Uwe wewe tu rafiki yake

    ReplyDelete
  10. safi, u grownup now, fikirini familia yenu Mungu akijaalia , umefanya jambo zuri sana, bigup

    ReplyDelete
  11. TRUE LOVE HAPO

    ReplyDelete
  12. KWA NAMNA HII MTAFIKA MBALI VIJANA....

    ReplyDelete
  13. Ujumbe kwa Wema,Hivi wewe upumui bila mashoga?rafiki unae tayari hapo,sasa marafiki mpaka Wa kushona saresare Wa nini?

    ReplyDelete
  14. kila siku duuu full kichoka ishu zenu kwan ile muvi aliyemuita hadi super star omotola jelade aikumtoa ilishia bongo akutambulika ilikuwa show tu ok tusubil

    ReplyDelete
  15. Hata mi sipendi marafiki..

    ReplyDelete
  16. Hongera sana diamond kweli umekuwa

    ReplyDelete
  17. w@t@kuch@p!@ d¤m¤ sh@ul!l@k¤ mw@n@mk€ mw€ny€w€ k!ch€ch€

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hapojuu umeona mbali achawamchapie tu kwanihatahuku sialishachapwasana kunanini hapo ndiovizuri domo akiwapa ye anavuta bby ingine nae katumia akili amuache vizuri good almasi

      Delete
  18. Sasa huko nje si ndio mpaka mbwa watamtomba coz tumjavyo anapenda sana mboro

    ReplyDelete
  19. Sasa huko nje si ndio mpaka mbwa watamtomba coz tumjavyo anapenda sana mboro

    ReplyDelete

Top Post Ad