AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Akizungumza juzi jijini Dar, mtu anayejitolea kumpa msaada na kumtembelea Jack mahabusu, Macau, China alikoshikiliwa, Matilda- alisema Jack anaumia kwa kupewa maisha kama tayari amehukumiwa, anaona bora hukumu yake ipite ajue moja. “Kiukweli Jack anaumwa, alishindwa hata kwenda mahamani, mbaya zaidi hata wakili wake naye hakutokea siku hiyo.
“Halafu kule mahabusu anafanyishwa kazi ngumu ambazo hastahili kama mahabusu na amesema hata watu wake wa karibu ambao anaamini kwa kipindi hiki wangekuwa wanampa faraja hawaoni, anatamani angekamatiwa Bongo labda kuna watu wanapenda kwenda kumtembelea kule Macau lakini hawana uwezo.
“Wabongo wengi ambao wako Macau kwa ajili ya sanaa ya sarakasi ndiyo kidogo wanakwenda kumtembelea siku mojamoja,” alisema Matilda.
Juni 20, mwaka huu, Mbongo Fleva anayedaiwa ni mtu wa karibu na Jack, Juma Khalid ‘Jux’ na kumuuliza kwa nini hajawahi kwenda kumtembelea ‘bebi’ wake mahabusu kama wanavyofanya Wabongo ambao wako Macau, akajibu: “Sipendi kusikia ishu yoyote inayomuhusu Jack kwani nina mambo mengi ya kuongelea na si ishu za Jack kila kukicha.
“Kwa kipindi hiki sitahitaji mtu aniulize ishu za Jack, zinanitibua sana na kama kuongelewa zimeshaongelewa hivyo sioni kipya.” Hii ni mara ya tatu kwa Jack kupanda mahakamani, mara ya kwanza ilikuwa Aprili 10, mwaka huu kosa likiwa kukutwa na madawa ya kulevya tumboni aina ya heroin kete 57 au kilo 1.1 yenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 223. Mara ya pili ilikuwa Mei 23, mwaka huu
Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu
Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
What goes around come around!huyu mwanamke alichomfanyia mme wake kipindi amekamatwa ni mambo ya aibu sana ngoja na yy machungu yampate dunia imemfundisha
ReplyDeleteHii ni dunia, bado flora mbasha malipo yanamsubiri.
ReplyDeleteThis comment has been removed by the author.
ReplyDeletedawa hizo zilikuwa zinaenda kuwaharibia watu wengi sana maisha. Haki itendeke kama kweli alihusika basi adhabu kali kwa mjibu wa sheria ni haki yake ya msingi.
ReplyDeleteKuhusu kupiga mzigo km ameshahukumiwa hilo halina tatizo kwa vile anakula na kutumia umeme,maji magereza so anataka ale, alale, anywe na alindwe bure mahabusu, she should work to pay that!
Binafsi na omba haki itendeke na ionekane kutendeka pia.
SASA AJAHUKUMIWA ANALALAMIKA,ETI KAZ HAZIMUHUSU,JE AKIHUKUMIWA SI ATATOA MKUNDU ILI ASAIDIWE
ReplyDeleteatakoma, alivyokuwa ajitamba bongo eti bosy lady alifikiri sifa kazi kwake
ReplyDeleteHivi serikali inasaidiaga watu kama hawa, au watakachoamua kumfanya ndio hicho hicho
ReplyDelete