Kamanda wa Polis Aeleza Kilichotokea Jana na Kusababisha Vurugu Uzinduzi wa E-Fm 93.7

Kamanda wa Polisi Kanda ya Temeke Engelbath Kiondo leo amezungumza na vyombo mbalimbali vya habari ofisini kwake kuelezea kilichotokea jana kwenye uzinduzi wa radio hiyo mpya ya 93.7 E-FM.
Kamanda huyo alisema Jeshi la Polisi na waandaji wa tamasha hilo walipoona umati wa watu kuwa mwingi na ili kuepusha madhara ambayo yangeweza kujitokeza kwa rai basi walizima mzuki mapema nusu saa kabla ya kumalizika kwa shughuri hiyo.
Hata kitendo cha kuzima muziki kabla ya muda kumalizika kiliwauzi vijana ambao walionekana ni wahuni ambao walianza kurusha mawe kwenye jukwaa pamoja na kuwashambulia Polisi kwa mawe ndipo polisi walitumia nguvu za ziada za kuwatawanya vijana hao wa kihuni kwa kuwarushia mabomu ya machozi.
Aidha katika taarifa yake Kamanda huyo alisema kuwa katika purukushani hizo polisi watatu wameumia lakini wanaendelea vizuri hadi sasa.
Tags

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. E-FM ambayo inasemekana ni mali ya Jide ambaye ni kamanda wa chadema, ni tishio kwa redio Clouds ambayo imefungamana ccm.Poli-ccm ni lazima wawafanyizie hila.

    ReplyDelete
  2. Ww namba1 hapo juu lazima uwe chadema. Una uhakika gani km Jide ni mwenzenu? Hawezi kuwa mfuasi wa chama mfu km cdm.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kwahio ni chama kizima cha mafisadi ndio yuko kuma la mama yako msenge maziwa wewe unatetea mafisad na wakati baba yako choka mbaya fundi bomba tu sheenzi type!

      Delete

Top Post Ad

Below Post Ad