Sakata la Mbasha: Kanisa la Ufufuo na Uzima Latoa Tamko Lake Kuhusu Tukio Hilo

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Kwanza tutoe pole Kwa watu wote mliofikwa na maafa mbalimbali pamoja na pole kwa kiongozi na mbunge wa Kigoma Zitto Kabwe kwa kufiwa na Mama Yake mzazi. 

Ni wiki sasa pamekuwa na gumzo hapa jijini juu ya tuhuma Za Ubakaji zinazomkabili mume wa mwimbaji mashuhuri Flora Mbasha. Na Kwa Makusudi na yamkini kikundi flani cha watu wamehusisha sakata hili na Kanisa letu la Ufufuo na Uzima, tena Kwa maneno makali sana. Bahati mbaya watu hawa wamewakosesha baadhi ya watanzania wasiojua Chochote na kujikuta nao pia wamo kwenye kumbo la kutukana, kumkashifu na wakati mwingine kutukana viongozi wa Dini kitu ambacho ni kibaya kinawaletea laana Binafsi. Kwa mustakabali huo ni Vema Basi waziwazi tukaongea sintofaham hii na kujibu maswali ya kila mwana jamii juu yetu. Siku zote Ufufuo na Uzima tumekuwa mbele kutolea ufafanuzi kila sentensi inayolenga huduma hii na kanisa la Mungu kwa ujumla wake hapa Tanzania.

Ifahamike tu wazi kwamba sakata hili tunalisikia sana mitandaoni. Kanisa kama kanisa hatujui lolote wala Chochote juu ya sakata hili, lilianza wapi linakwenda wapi na litafikia wapi. Ni Kweli Flora Mbasha na Mumewe mara Nyingi hupenda kushiriki nasi Kwenye ibaada zetu. 

Kanisa limejikita zaidi na huduma ya kiroho. Hatumaanishi kwamba washirika wetu hawapati mitatizo ya kiutu au kijamii, tunaamini Msingi Wetu hasa ni Maombi. Na Kama kukiwa Na tatizo la kijamii viko vyombo husika vya serikali yetu ambavyo ni wajibu wao kutekeleza majukumu Yao. 

Kama kuna swali uko huru kuuliza ni vema kupata jibu kwenye Chanzo sahihi.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

17 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Enyi walokole mnaodai kufufua wafu naomba mnionyeshe mtu mmoja tu aliyefufuka nami niweze kuamini.Hata hivyo ni nani yu tayari kuishi tena na mtu aliyekwisha kufariki hata kama ulimpenda vipi???

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kama kweli Gwajima anafufua wafu,ni kwa nini siku moja asiende pale mortuary ya muhimbili akafufua waliokufa dunia ione?.Ni usanii mtupu.

      Delete
  2. Chonde msimtukane YESU jamani!!' Uwiiii" hadi tumbo langu
    Linauma!!!! Hapa Ni Mbasha anajadiliwa Yuko MASAMA Machame amejificha uko.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kuna Yesu wa Nazareth na Yesu wa kichina,ni yupi ambaye Gwajima anamtumia kufufua watu? Au unajidanganya kila amtajaye Yesu basi yu mkweli?

      Delete
  3. Huku wanasema kifo ni mapenzi ya Mungu,hapo hapo wanadai kufufua watu.

    ReplyDelete
  4. Mwenzio Gwajima keshapiga mihela za freemason,anatembelea gari la bei mbaya Hummer,unataka apande mtoto wa punda kama Yesu wa Nazareti?

    ReplyDelete
  5. amfufue mzee nyerere tuone

    ReplyDelete
  6. Hivi kanisa ni linaingiaje hapa? , tuhuma za uzinzi zinawahusu wawili tu ambao wanapaswa wajibu wenyewe tuhuma amazo zimerushwa kwao, kwani walipokuwa wanakutana huko hotelini au gesti (kama ni kweli) kanisa lilikuwepo au lilikuwa refalii hadi lenyewe lijiingize kukanusha? kwanza tamko lenyewe lipo sharo sana, halisemi linatuhumiwa nini na limejibu nini? kanisa limeshindwa kutaja linatuhumiwa nini si kwa bahati mbaya ni kwamba kanisa kama kanisa tuhuma hizi kanisa halihusiki na mhusika wa hili ni gwajima yeye kama yeye na frola kama yeye ndo wanapaswa wajibu kuwa je ni kweli alienda masomoni kwa kulipiwa na gwajima na aeleze mazingira ya safari hiyo au vigezo vilivyotumika hadi frola peke yake aonekane anafaa kwenda masomoni na huku akiwaacha waumini wenyeji kabla yake yeye?je ni kweli anaishi hotelini na gwajima ndiye anayemlipia? hebu aseme mazingira ya kulipiwa huko ilihali gwajima akijua frola na mumewe wako kwenye mgogoro wa ndoa?gwajima aseme kama ni kweli msichana anaedai kubakwa amemchukua yeye gwajima kwa misingi ipi ilihali msichana huyo anandugu zake?si aseme kama ni kweli alimnunulia frola gari wakati mume wa frola hakumnunulia hata baiskeli?hivi matumizi ya pesa za sadaka za kanisa lake matumizi hayo ni sahihi kweli? anafanya hvy ilihali kanisa lake lipo hapa hapa dar na uingereza basi ukienda kigoma halipo,tabora halipo sasa kwa matumizi hayo ya pesa za sadaka kanisa lake ni lini litajitanua au kupanuka na kufika hadi vijijini?? frola si ajitokeze nae aseme kilichomfanya akimbilie kuishi hotelini badala ya kwenda ukweni ili mumewe aitwe na ndugu zake asemwe na kupatanishwa kama kweli huko hotelini hakukuwa na jambo la ziada? si ajitokeze pia aseme kwanini alamua kumuacha mdogo wake aishi na mumewe ilihali akijua si ndugu wa mumewe? si aseme kwanini hakuambatana nae huko hotelini wakawa wanalala wote kama kweli huko hotelini alikuwa analala peke yake? pia si AJITOKEZE ASEME KUWA AMETUMIA ANDIKO GANI KATIKA BIBILIA KUWA MKE WA MTU NI HALALI KUKIMBILIA HOTELINI PINDI AKIGOMBANA NA MUMEWE NA BADO MCH, WAKE ET AKAWA ANAMLIPIA NA GHARAMA ZA KULALA HOTELINI? KANISA LA UFUFUO SEMENI HAPA KUNANINI MAANA MJITWISHA ZIGO LA KUWASEMEA HAWA WATUHUMIWA!

    ReplyDelete
    Replies
    1. Mkuu peleka maoni haya kwenye mitandao yenye akili kama JF hapa hutapata jibu la maana coz hawapiti watu waelewa mara kwa mara hata mimi nimepita tu vile title ni ya scandal kubwa. Kifupi una point ila hapa c mahali pake.

      Delete
  7. Jibu ni moja tu waliowengi wameambukizwa imani tu hapa afrika msipoteze muda kufikiria mambo mengi hapa duniani juu ya dini fikirieni sana juu ya uwepo wa MUNGU mengine yoooote ni njia za kuishi tu hapa duniani,jiulize je hao wazungu na waraabu wasingekuja na kutulazimisha waafrika kuzipokea mila zao kwa viboko kupitia ukoloni na biashara ya utumwa nani angekuwa mkristu au muislamu?hivi kweli MUNGU anaweza kuwatuma watu kueneza neno lake kwa viboko?hayo ndiyo matokeo ya unafiki wa kuikataa dini zetu na kujiita walokole au waislamu wenye msimamo mkali kwani siyo mila zetu tumeambukizwa tuu!

    ReplyDelete
    Replies
    1. Mdau nakubaliana na ww 200%,dini za asili za kiafrika mababu zetu walimjua na kumuogopa Mungu.Kulikuwa hakuna ufisad,rushwa,ubakaji,ulawiti na mauchafu mengi kama tunayoyashuhudia sasa chini ya dini za kigeni.

      Delete
  8. Hii familia ya flora sijui imelanika kama mnakumbuka mrisho ngasa alishatoa video ya ngono na mdogo wake flora mbasha .

    ReplyDelete
  9. Gwajima anapenda uroda sana,tena tigo,,waumini wake wengi kesha wapitia.

    ReplyDelete
  10. Anonymous 6:35 pm, hio comment yako ni refu joh.. lakini information yake iko poa.. meanwhile, hebu soma maceleb warembo wa kutoka TZ tunaowapenda sisi waKenya.. Wema Sepetu hayumo kwenye list jameni..

    ReplyDelete
  11. huyu mkenyamavi anaongea nini sasa. yaani yupo nje. ya mada simuelewi huko kenya nako kuna maceleb au wakata mkaa

    ReplyDelete
  12. Nahisi huyu mkenya ni shoga.

    ReplyDelete

Top Post Ad