Siku hizi, hakuna lisilowezekana kiteknolojia, mfano hips, unaweza weka za mchina ukatutambia nazo au unaweza bakia huna hips ila picha zako za instagram, whatsapp na FB ukazileta kwa wataalam tuzitanue uonekane una hips kwa Kutumia Kompyuta. Ndio faida ya teknolojia. Ila unavyomtafuta "mtanuaji" uhakikishe unampata aliye makini, la sivyo atakuumbua, anaweza tanua hips na Mlango. Angalia Hiyo Picha Hapo Juu Hips la Upande wa Kushoto limetanuliwa ila alie tanua akatanua na Mlango Pia .....Hahah Hips Don Lie!
heee he he he he aah ha ha ha ha mwe mbavu zangu mie jaman nmecheka hadi machoz yaani wametanua hadi mlango na ye kataka atanuliwe hips jaman nyie!!
ReplyDeleteHahahahaaa! Ndo leo naona na kujua hilo!!! Kumbe ndo cri ya urembo!! Duuu!!! Kaz mnayo wadada! Hamkubalian na mungu alivyowaumba!
ReplyDeleteAsante Mungu ulinipa Orginal Hips Eeh Mungu sijakupa Rushwa wala nini" Ni upendeleo Wa kiungu tu Mfalme Wa Wafalme Ameen'
ReplyDeleteMshukuru Mungu sn dada wenzio wanakosa usingizi kwa ajili ya Hips na tako!!' jitunze sn!!' na usijiraisishe kwa wanaume!!!! Kuwa na nguo ZA kuonyesha shep yako.
Deletemi mwenyewe mwanamke cna hips kihiiivo lkn mwenzenu ckujuaga kama kunakutanuliwa hips na compyuta mwee kumbe admin unatupachikiaga picha mtu ana hipsi hizoo kumbe wanatanua?!! kwani hadi makalio yanaonekanaga makubwa nayo wanatanua?? ladys kaz tunayoo sasa vip kwa wanaokufahamu!!
ReplyDeleteHahahahahaha!!Hehehehehe!!khokhokhohkho!!pyuuuuuuuuu!!Ntyaaaaaaaaaaaaaaaa!!uwiiiiiiii!!Hips za tumbo
ReplyDeletehyo haijatanuliwa kwenye computer ila kwenye simu....
ReplyDeleteMwanamke siku zote jikibal vle mungu alivyokuumba.
ReplyDeleteThan mungu kwa nilivyo ..ninamvuto Vasili name cshoboki.
ReplyDeletektk sim yako download plastic surgery App utajtengeza mpk uchoke
ReplyDeleteHahahahahahahahhahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahhahahahahahahahaahhahahahahahahahahahahahahahahahhahahahahahahayaalayalayalayalayalaylayalayalayalaylahahahhahahahahhahahahaahahaahahaahahaahaahaha
ReplyDeletePole Madam
ReplyDeletehuyo hajielewiii! kwanza shepu yenyewe ya kuongeza hipsi hana! asituchekeshe sie
ReplyDelete