Maskini:Mwanafunzi wa Chuo Anusurika Kifo Baada ya Kuchomwa Moto Akidhaniwa ni Mwizi

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Imagine guys kuna this guy mtanashati anasoma chuo cha ruaha a.k.a ruco huku iringa. Alikuwa sheria mwaka wa nne. Ameitiwa mwizi kumbe sio akachomwa moto. Ameungua ila hajafa, hivi ndivyo alivyo..
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

10 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Dah inasikitisha, hz sheria watu wanazojichukulia mkononi ni shida, maskini sijui km atamalizia chuo maana keshaathirika kisaikolojia kurudi km mwanzo itachukua muda.

    ReplyDelete
  2. Dah inasikitisha, hz sheria watu wanazojichukulia mkononi ni shida, maskini sijui km atamalizia chuo maana keshaathirika kisaikolojia kurudi km mwanzo itachukua muda.

    ReplyDelete
  3. Kwani mwanachuo hawezi kuwa mwizi,tupe mazingira ya tukio

    ReplyDelete
  4. kwa nini ahisiwe yeye ina maana hawakuwepo watu wa karibu ku identify yeye ni nan?au kweli alikuwa kibaka?kwa nini yeye afuatwe?

    ReplyDelete
  5. stori ilielezwa vizuri kwenye magazeti ya tarehe 24 june 2014, alikua ametoka kuangalia mpira kombe la dunia anarudi chuo alipopita sehemu kuna nyumba ya kulala wageni na glosary akawa anaingia glosary ndio walinzi wa sehemu hiyo akiwemo mmasai kuhisi ni mwizi kwasababu ilikua ni usiku sana wakaanza kumkimbiza ndio kumtia moto kijana wa watu. tumuombee apone na apate msaada wa kwenda nje akafanyiwe sugery

    ReplyDelete
  6. Hii picha kuna mahali nimeiona nafikiri ni jamii forums alikuwa anaomba msaada wa kwenda India ilkuwa kabla ya world cup na wakarudi kutoa feed back wameshapata 1.7m mbona kama wananichanganya tena walidai ni mzenj

    ReplyDelete
  7. mmm au ishu ya mademu wenzie wakamfanyia maana mambo ya chuo bwana hasa kwa iringa I know how they are,coz kwa hali ya kawaida wananchi najua hawawezi kumsulubu mwanafunzi hivi mbona wanafanya mabo mengi ila huwa wanapelekwa vituoni there something behind

    ReplyDelete

Top Post Ad