Mapacha Wamjibu Lulu Baada ya Kukana Kuimba Kwenye Wimbo wao, 'Ametudharau Sana'

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Baada ya Elizabeth Michael kukana kushirikishwa na kundi la mapacha kwenye wimbo wao mpya ‘Time For The Money’. Kundi la Mapacha limeeleza jinsi lilivyoipokea taarifa hiyo.

Akiongea na tovuti ya Times Fm, Kulwa wa Mapacha amesema kitendo alichokifanya Lulu ni dharau kubwa kwao na kwamba inawezekana ameona hataki kusikika kwenye wimbo waliofanya wao.

“Sisi tuliamua kumtaja kwa respect kwa kuwa tulipenda alichofanya kwenye ile beat ambayo sisi tuliamua kuiimbia kwa kutumia chorus yake. Lakini yeye ameamua kutu-disrespect. Sasa sisi tumeamua hata kama wimbo huo ukipata tuzo basi yeye hatutamtaja...ametudharau.”Alisema Kulwa.

Aliongeza kuwa hivi sasa wameamua kulifuta jina la Lulu na kwamba hata wimbo huo utakapokuwa unapigwa asitajwe kabisa.

“Sasa hivi tunasimama kama Magenge peke yetu. Tumeachana na masuala ya Lulu, hatutamtaja

na tunafuta jina lake kabisa sasa hivi tunabaki Magenge tu.”

Tulipomuuliza kwa nini hawakuwasiliana nae awali angalau kumshukuru kwa chorus aliyowafanyia ili wapate mrejesho mapema. Alisema wao hawajawahi kuonana nae wala kuwasiliana nae hata siku moja.

“Tungewasiliana nae vipi, si unajua hawa watoto unaweza kuwapigia simu wakaacha hata kupokea..si unajua mwanangu. Sisi tungempata wapi sasa. Tud yeye alituambia ni Lulu na sauti yake kweli ni yeye. Sasa kama anakataa bana tunaachana nae."

Baada ya Mapacha kutambulisha wimbo wao na taarifa kumfikia Lulu leo, aliandika kwenye Instagram kwa mshangao mkubwa.

Mwe mwe mwe...!Mbona mnaninyasanyasa...'in Senga's voice'

 I swear sina idea na Huku kushirikishwa....au kuna Elizabeth Michael'Lulu' mwingine!????

 Dah...hebu mliosikia hyo nyimbo labda mniambieMana nashirikishwa ki miujiza jmn.”
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

9 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. aaah kumbe mmemwibia chorus yake ni halali yake kukataa maana hajui

    ReplyDelete
  2. Na nyie mkome kushirikisha vibaka wakati kuna madem chungu mzima nawashangaa mnan'gania kama luba huyu malaya au mmeambiwa bila yeye hamtatoka coz yey star.

    ReplyDelete
  3. Na wew changudoa acha kujiona superstar wakati juzi juzi tu ulikuwa wala MAKAMASI muulize Ray Vicent walikokutoa wew.

    ReplyDelete
  4. Na wew changudoa acha kujiona superstar wakati juzi juzi tu ulikuwa wala MAKAMASI muulize Ray Vicent walikokutoa wew.

    ReplyDelete
  5. Nyie mnamshirikisha mtu ambaye hamjawahi kuwasiana naye msipende Kick za kirahis!!

    ReplyDelete
    Replies
    1. Co kick kwenye mziki vipande vya sauti kuviingza ni kitu cha kawaida.. nyimbo ya god pt. III ya mobb deep kuna sauti ya al pacino bt alikua uncredited.. Hizi sauti hua zinaingzwa kutokana na matakwa ya producer.. Obama na martin luther ni baadh ya watu ambao sauti zao zimeingzwa mara kadhaa. Kwenye nyimbo nyingi za nas kuna sauti ya pac, na kla mtu anajua hawakuwahi kywa in good terms.. Walichokosea mapacha ni kumcredit, c kila sauti inayockika kwenye nyimbo inahitaji kutajwa as featured.

      Delete
  6. This gal is un educated un talented just bithing around n anafurishwa kichwa na magazeti. seriously hawa mastaa wangekua wamesoma inavotakiwa would dey be acting like bitches. since kanumba died bongo movie ilikwisha

    ReplyDelete
  7. huyo nae mavi makubwa sasa nae ana nini mpaka ajishaue kashaliwa tanzania nzima.aende zake huko

    ReplyDelete
  8. Huyo mtoto ana laana tangu tumboni mwa mama yake ma nina

    ReplyDelete

Top Post Ad