Movie ya Kibongo Ambayo Nimeangalia Nikatoa Machozi ni Hii Hapa , Wewe Je ?

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Huyu Gabo Muuza Maji kwenye Hii Movie ni Kibako , Nimeipenda sana hii Movie Kuna Sehemu mpaka nimetoa Mchozi...Je wewe ni Movie Gani ya Kibongo Ambayo imewahi kukugusa?
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

12 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hiyo hiyo,nzuri sn hata mi naikubali

    ReplyDelete
  2. Ktk hii move ndo mara yakwanza kumuona Gabo,anajua kuvaa uhusika.alumwaga viduku vya haatari alipowekewa pombe kwenye kinyaj chake.. Ushauri amentein body yake asinenepe coz atapata fursa yakucheza nafasi mbali mbali na akafit ila akianza mikorogo mara dawa kichani ohoooo atachemka coz wasanii wa bongo wanapnd wawe mabos tuuu au wenyemipesa ss nani ataact muuza genge? So bro baki hivyo hivyo ili ufit popote! Kipaji unacho.

    ReplyDelete
  3. Duh! hii movie jamaa kakamua ile mbaya, nilipenda alivokuwa na msimamo kwa yule binti wanaume tujitahidi kutojishusha kwa mabinti hata kama anakuzidi mkwanja bado Uhanaume ubaki pale pale

    ReplyDelete
  4. gabo alifumbua macho,,,nlitoa machozi mpaka nkarecord ile sehemu ya mwisho na pale alipocheza,,dah mapenzi

    ReplyDelete
  5. Kuna kitu kinaitwa KISATE jaman wahusika wamecheza nagasi zao vizur na wakaitendea haki iko pouwa kwa maadil ya kitanzania nimeipenda

    ReplyDelete
  6. Me nililia tena Mara moja nilikua safarini kwenye basi wakaweka nililia sana jama mkali na lafudhi yake

    ReplyDelete
  7. Gabo kakamua, ila du hamna map
    enzi dizaini ile siku hizi, very few good men.

    ReplyDelete
  8. he hii move nililia mpaka basi ki ukweli wamecheza

    ReplyDelete
  9. hataaree sana jaman mm.nampendaa sanaa gepo afu isitoshee anaafanaa sana na kaka angu ninaaemfaaja jmn mwenyee nambaa zakee anipostiee plzz nitaamshukuru sanaaa kwenye namba yangu hii 0763320705 ilaaa palee mwisho.hataa mm nililiaa haya yotee ni mapenz tu

    ReplyDelete

Top Post Ad