Ridhiwani Kikwete Akanusha Taarifa Zilizo Sambaa Kuhusu Kifo cha Mheshimiwa Kawambwa

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

TAARIFA TOKA BAGAMOYO
Ndg Watanzania,WanaBagamoyo na wapenda maendeleo, kwa niaba ya CCM-Bagamoyo na Ofisi ya Mbunge-Jimbo la Bagamoyo napenda kuleta kwenu Masikitiko yetu kwa niaba ya Chama na Familia ya Mheshimiwa Mbunge Shukuru Jumanne Kawambwa kutokana na Usumbufu ambao umesababishwa na habari zinazoenezwa Mitandaoni kwamba Mheshimiwa Kawambwa amekumbwa na Umauti akiwa njiani anaelekea Mwanza.
UKWELI
Mheshimiwa Shukuru Jumanne Kawambwa yupo Nchini Canada Akitimiza majukumu yake. Hivyo Watanzania na wana Bagamoyo mnaombwa radhi kwa usumbufu uliotokea na kwamba Mheshimiwa Mbunge yuko na Afya njema na utekelezaji wa Majukumu unaendelea kama kawaida.
Ndg.Ridhiwani Kikwete (Mnec)
Mbunge -Chalinze
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. kwani ilikuaje mpaka wamzushie kafa, jamani wabongo wana mambo

    ReplyDelete
  2. Watu wakikuchoka

    ReplyDelete
  3. MUOSHA HUOSHWA..
    HIKI NDICHO KIPIMO CHA UADAMU WETU.

    ReplyDelete
  4. wabongo bhana maendeleo nyuma uzushi mbele mnaboa

    ReplyDelete
  5. Yuko Canada! Okay.

    ReplyDelete
  6. Tulitaka kujua yuko wapi, maana tumeona kimya kimezimidi. Kumbe yupo Canada, basi sawa. Siku nyingine mkisafiri muage, sio mpaka mzushiwe ndio mnatangaza.

    ReplyDelete

Top Post Ad