Unaambiwa Hii Ndio Nguo Atakayo Vaa Diamond Kwenye BET Awards...Imetengenezwa Kwa Ajili Yake Tuu

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

BET Awards zinakaribia kufanyika na Diamond Platinumz anaelekea huko kwasababu amekuwa nominated kwenye kipengele cha Best African Act. Diamond atapita kwenye Red Carpet itakayo tumiwa na wasanii mbalimbali siku ya tukio. 

Hii ni sehemu ya nguo ambayo atavaa siku ya tukio na imetengenezwa na Sheria Ngowi, sehemu moja imeandikwa Mr Diamond Platnumz.

Haya ni maneno aliyoandika alipo-share hii picha.

----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. nzuri utapendeza sana dai
    ya wema mbona hujatuonyesha vipi haya mambo sasa, we sheria usibague bwana mshonee na Madame
    kila la kheri dai

    ReplyDelete
  2. teh teh teh tehe eti hata nguo atakayovaa jamii nzima inaambiwa!!!!!

    ReplyDelete
  3. nguo boroka hiyooooooo

    ReplyDelete
  4. hapa nimegundua wabongo wana wivu sana hata kuisifia nguo iliyodizainiwa na mtanzania mwenzetu khaaa hii kali zaidi ya kawaida. tubadilike tupende na kuthamini vya kwetu

    ReplyDelete
  5. kwaniiiii..................

    ReplyDelete

Top Post Ad