AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Wakati ikidaiwa kuwa mwanadada Aunt Ezekiel anamzunguka Wema Sepetu na kula Penzi la shemeji yake Diamond, sasa ameamua kufunguka na kudai kuwa kamwe hawezi kumsaliti Wema na kikubwa anachokiheshimu ni kwamba anajua Diamond ni mpenzi wa ndugu yake…..
Aunt alisema hajawahi kulala na Diamond, wala kumuomba kutoka kimapenzi kama watu wanavyodhani bali wao ni marafiki wa karibu kwani anatambua kuwa Wema anampenda Diamond, na ndio maana wakati wote wanakuwa pamoja na si kwamba yeye ana lengo la kuchukua nafasi hiyo…..
“Mimi jamani sijawahi kutoka na Diamond na wala sina lengo hilo,najua yeye ni shemeji yangu kwa Wema,sasa inakuwaje na mimi nijipeleke wakati najua kinachoendelea?
“Hayo mambo siwezi kufanya na ninachohitaji kuwaambia mashabiki wangu ni kwamba kila mmoja ana mpenzi wake na hatuwezi kuibiana wanaume kama inavyodhaniwa,” alisema Aunt.
Hata hivyo alisema kuwa safari zote wanazokuwa pamoja ni jibu tosha na kama angetaka kufanya hivyo ni wazi wangegombana na rafiki yake, kitu ambacho hataki kiwe hivyo.
Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu
Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
rekebisha kauli sema hujawahi kumtanulia miguu sio kumvulia chupi maana huvai chupi wewe
ReplyDeletehahaahahahaha eti uvai chupi....
ReplyDeleteMdau umenifurahisha Ni kweli uwa awavai chupi yeye na huyo shoga yake wema! Na domo anawasugua wote wawili, mbona kila kitu kipo hadharani.
ReplyDeletebora kajala apumzike.tuanze ya aunt.
ReplyDeletehiyo picha hapo juu chupi hana,tako jeusi.
ReplyDeletejaman mtako wote huo...nje duuh umeuchoka mwili wako!
ReplyDeleteumeonaeh aunt kwa mtaji wa kukaa ovyo hvy c ishu wala nn
ReplyDeleteChini yatako mweusi auntie jisugue na liwa khaa
ReplyDelete