BABY MADAHA: Siolewi kwa kufuata Mkumbo…Pesa Ndiyo Kila Kitu Kwangu

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


STAA wa muziki na filamu Bongo, Baby Joseph Madaha ‘Baby Madaha’ amesema anaishi katika staili ya kivyake hivyo kamwe hawezi kuolewa kwa kufuata mkumbo kama ilivyo kwa wasanii wengine.

Akipiga stori na mwandishi wetu, Baby Madaha alikiri kuwa ana mchumba ambaye ni Joh Kairuki, anampenda sana ila katika suala la kufunga ndoa bado yupoyupo sana kwa sababu haolewi kwa kufuata mkumbo kwani amejifunza kupitia kwa walioolewa na kuachika.

Nitaolewa nitakapokuwa tayari siyo kwa kufuata mkumbo vinginevyo bora nibakie hivihivi kwa sababu pesa kwangu ndiyo kila kitu, mambo mengine yanafuata,” alisema.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

10 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. U need to shup up bitch tumekuchokaa unaongea pumbaa saa zote msonyooo

    ReplyDelete
  2. we nae atakuoa nani shwaini

    ReplyDelete
  3. Kauze kuma kenya nani akuoe wewe hata huyo kairuki unayejitangazia eti mchumba wako anakukula tigo then tupa kule

    ReplyDelete
  4. duuh! makubwa ! matusi Ya nini mazee

    ReplyDelete
  5. Majuto ni mjukuu; maneno haya yanaweza kugeuka kuwa mjuu wako!

    ReplyDelete
  6. Kwanza nani ajitose kukuoa kwa tabia hiyo uliyonayo?badili tabia vinginevyo utasubiri sanaaaaaaaaaaa

    ReplyDelete
  7. sio unasubiri sema ukweli jamaa wana kuchagija na kukuacha kw ujinga wako, jaga ukanye nyanoko

    ReplyDelete
  8. Ujana una mwisho. Ni hapo utahitaji kuwa na familia then ukashindwa kufanya hivyo sababu muda umeshaenda. Pole sana kwa fikra potofu!

    ReplyDelete

Top Post Ad