Henry kilewo 'Hebu Msajili wa Vyama Tumia Akili Yako Acha Kukubali Udhalilishaji Unaofanya Kwa Kupitia CCM"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Nimesikitika sana siku ya leo kwakuona taarifa juu ya msajili na chama changu cha chadema, hivi msajili umekubali kuitumikia akili yako kwa kuiweka mfukoni ili uisaidie ccm 2015? Kama katiba ya 2006 inakasoro katika kifungu ulichokitaja, inamaana na sisi viongozi wa chadema tuliyochaguliwa 2009 hatupo kihalali ? Pamoja na wabunge, madiwani na wenyeviti wa mitaa?
Hebu msajili tumia akili yako acha kukubali udhalilishaji unaofanya kwa kupitia ccm... Ni hivi huwezi kuzuia mabadiliko hata kidogo tena ukituuzi zaidi maandamano ya wakati huu tutayafanyia nyumbani kwako kudai haki yetu.
1. Mwaka 2006 CHADEMA haikufanya marekebisho ya ibara au katiba, iliandika katiba mpya!
2. Msajili wa Vyama vya Siasa hana authority juu ya katiba yetu bali sisi wenyewe!
Henry kilewo
Katibu wa chadema mkoa wa kinondoni
Na kanda maalum ya Dar es salaam
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

13 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Huyu msajili Francis Mutungi hana akili tangu tukisoma nae kitivo cha sheria UDSM,kila mwaka alikuwa anarudia mitihani hasa somo la Dr.Kanywani na prof.Shaidi.Francis ni scandolous,alimuoa mke mwanasheria lakini alipochelewa kupata ujauzito alianza kumnyanyasa,francis akaamua kumtia mimba ofice cleaner.wa mahakama ya Iringa bila ya kujua kuwa wakati huohuo mke wake wa ndoa pia ni mjamzito.Alipata aibu isiyoelezeka.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kumbe ndio maana!sasa nimejua kila kiongozi anayechaguliwa na ccm ni mbulula kabisa ndio maana wengi huwa na maamuzi mpaka mtu unashangaa aisee!mfani huyu mwizi wa Iptl anayewaita wenzie tumbili hivi kweli ni msomi kweli?!mtu umekabidhiwa madaraka makubwa ya nchi unaweza kuongea uharo kweli baada ya kutetea hoja?viongozi na wanachama wengi wao wa ccm ni mbulula kabisaa haswa wanachama wasiofaidika na kitu maana viongozi wao wanakula nchi tuu!wanachama wanaibiwa na wanaona lakini bado tuu wako na mafisadi wanachama wa ccm wengi wamerogwa!

      Delete
  2. Tunafanyaje sasa, maana tatizo limeshaonekana. labda huyu msajili haelewi majukumu yake ataanzaje kuingilia katiba ya chadema

    ReplyDelete
  3. Tujiulize nani aliyempa madaraka ?ungelikuwa wewe ungemtumikia nani ? Rekebisheni katiba

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kisheria huyu kunguru hatakiwi kuwa upande wowote basi tu ni katiba mbovu ba iliyooza ya nchi hii!

      Delete
    2. Kisheria huyu kunguru hatakiwi kabisa kuwa upande wowote sema tu nikatiba yetu ya kishenzi ndio inayofanya uharo huu!

      Delete
  4. Msajili yupo sawa kabisa kwan mlitakiwa kuitisha kikao kikuucha wajumbe wa chadema ili kufanya marekebishi ya katiia amkufanya hvy sasa mlitaka asemaje unakumbuka mambo ya Zitto alilalaikia swala hilo hilo mkamfanyia fitna na Mwenyekit wa arusha achen propaganda fuaten sheria walikuja lalamika masema amuwatambui ni mamluki wa CCM na wakati wao wanakaa kwenye ofis zen uko mikoni kama vile singida mwambieni Antifas Tundu Lisu awakane adharani kwa ndio wajumbe wake wakiwa singida anawajua vizuri na ndio maana ajaongea kitu Mnyika anaropoka tu kwa kuwa ana ajira nyingine CHADEMA kama akiipinga arudi chuo aongezee akili kidogo waambieni chadema tulisoma waraka wanaouwita wa siri uliotoka kwa Mwigamba kwenda kwa Zito aliyomo kule ndani ndio hayo hayo aliyoongea msajili sasa akili yenu mnataka kutuchanganya fuaten kafika au amna watu wenye vigezo wa kukidhi hz nafasi mwachen msajil afanye kazi yake.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Nenda kajifunze kuandika kwanza ndo uje uandike utumbo wako hapa....we cjui vipi tu, kama kuandika ujui ndo utajua kusoma katiba ya chadema..Nenda kwanza kaisome katiba ya chadem alaf uje utuambie wapi sheria imevunjwa...

      Delete
    2. Ndugu uliishia class.gani ww kuandika hujui?

      Delete
  5. ccm inawasumbua ndo mana wanaweka hakiri yao mifukon wanashindwa kuitumia ili wapate chakula hatuhitaj tumechokaa kwa sasa ccm ni km mke wa ndoa alieshindwa kulea family yake kwa hiyo anasaidiwa na wanaume wenzake ili gurudum lisonge mbeleee

    ReplyDelete
  6. CHADEMA KUWENI MACHO UCHAGUZI UNAKUJA MTAVURUGWA MPAKA BASI ILI MUWAACHIE CCM WASHIDE HIZI ZOTE NI NJAMA 2015 NASISI WATANZANIA MBONA TUTAWAPA KURA CCM KWANI T SHIRT NA KANGA SIZIPO

    ReplyDelete
  7. Watanganyika tuamke tuachane na hizi propanganda za ccm la sivyo tutaendelea kubakia masikini na vizazi vyetu huku viongozi wa ccm na familia zao wakiendelea kutafuna rasilimali zetu.tuamke tuwanyime ccm madaraka tukomboe taifa letu.potelea mbali tuwape chama chochote kingine cha upinzani kinachoonesha umakini bila kujali itikadi yeyote iwayo.Kataa ufisadi....kataa ccm 2015.usidanganyike............

    ReplyDelete

Top Post Ad