Habari za kuaminika Bongoclan ilizozipata ni kua kwa sasa Mwanadada Hamisa kazama kabisa kwenye penzi zito la Seth De Jesus Giovan almaarufu kama Bikira wa kisukuma. Mmoja wa mashostito wa wapenzi hao ambaye hakupenda jina lake litajwe alisema kua Hamisa keshatambulishwa nyumbani kwao na Bikira na kilichobaki ni tukio la kuvishana pete ndo lililobakia.
Team yetu iliamua kufatilia kama ni kuna ukweli kuhusiana na ishu ya kuvishana pete kwa wapenzi hao na kugundua ni kweli kua watavishana pete tarehe 2 ya mwezi wa 8 ndani ya Escape 1 ambako pia ndani ya siku hiyo kutakua na Instagram Party.
Kupitia akaunti yake bikira wa kisukuma alifunguka haya kuhusiana na tukio hilo " Mungu anipe nini mie...Nimeokota Embe Dodo vhini ya Mpera..I cant wait tarehe 2 pale ESCAPE 1.. Asante Mungu kwa kuileta INSTAGRAM maana nisingempata huyu na kudolishia watu hapa... Nakupenda we mtoto kuliko Ng'ombe anavyopenda majani,Nakuhusudu kuliko Mngoni anavyopenda ngono,Nakuthamini kama Mchungaji anavyoithamini Biblia... I cant wait to engage you pale jukwaani mbele ya halaiki maelfu TAREHE 2...Kama Chibu kaweza kwanini mie nishindwe...Niko tayari kuwa bwege juu yako hamisa wangu,Sitakuwa na wivu wala SitakuSPY kama mme wa yule dada nanii yule mtangazaji,Msukuma nimezama kwako @hamisamobeto DONT MISS MY ENGAGEMENT PARTY kwenye INSTAGRAM PARTY TAREHE 2...iam excited..Nikipigwa kibuti ntalia balaa ntafunga akaunti wallah"
Pia inadaiwa kua Hamisa amewaalika mastar mbalimbali ambao watahudhuria tukio hilo wakiwemo Diamond akisindikizwa na Wema, Adam Mchomvu, William Malecela, Jerry Slaa na wengine kibao huku burudani ikitolewa na Skylight Band.
Kiingili siku hiyo itakua ni elfu 10 tu huku mambo yakianza mapema kuanzia saa1 ya usiku.
Unakaribishwa Kusoma habari za udaku na za siasa kila siku, usikubali kupitwa, like page yetu ya swahilitz katika facebook na pia usisahau kutufollow katika instagra @swahilitz vile vile katika twitter @swahilitz1. unakaribishwa kutoa maoni yako hapo chini.
Hongera Hamisa,waliokuzushia umelala na dai ,inahuuuu?
ReplyDeleteWanawake wazuri wanaolewa bila kujinadi mitandaoni Kama joketi,joketi u disappointed me,unaona wenzio kina Hamisa?
ReplyDeleteOlewa mwaya,jiepusha na mashogashoga Si watu Hao Bali Ni viatu.
ReplyDeleteOUT OF TOPIC,kuna dada mmoja kina kapuni alikuwa anatembea na mkaka mmoja muuza sembe,basi Hela alikuwa anachezeaaa na magari mawili ya maana Tu akanunuliwa,Huyu dada alikuwa na mashogaze,unajua tena ushoga Wa kujuana ukubwani Si ushoga,basi bwana shogaze kuona rafiki Yao anafaidia wanatembea Na Huyo kaka,kaka mwenyewe Ni kitombi Wa mji anajulikana na wadada wengi Wa mji,na kashawa DO,basi bidada alivyogundua,akawadelete kwenye insta yake,aisaidii wewe ndo mwenye makosa,umejipendekeza kwa awo wadada mwenyewe kisa Ni mastaa Wa muvi,Leo wamekulia bwana wako,unawafuta insta,bwana wako mwenyewe kila demu anatembea nae,amezaa na kila mwanamke,kisaa Eti bwana handsome na anauza unga Wa Dona .mschweeee!!!!
ReplyDeleteDaaa kukusifia koteee kumbe hakuna cha engagement wala USHUZI kumbe kusudi letu mkusanye watu wengiii kwenye uzinduzi Wa instagram?mambwa nyie.mkome kutudanganya toto kwa faida yenu,paka nyie.
ReplyDeleteHakuna engagement hapo nyie danganya toto hiyo, cku zote wajinga ndiyo wanaoliwa, wanatafuta kick tu,
ReplyDeleteHabari kutoka kwa watu wake Wa karibu wanasema Ni uongo wanataka kujaza watu kwenye hiyo part ya instagram maana kiingilio Ni Ni 10000,Hamisa ngoja hiyo tarehe 2 ifike nisibitishe Ni uongo,NITAKUTOLEA SIRI zako zoteee ulizokuwa unafanya nchini Kenya,tumekusitiri unatuona mabwege.Na muandishi usikurupuke kuandika Habari za uongo.
ReplyDeleteWatu awamjui Hamisa mabeto,kwahiyo msione hivyo,anatafuta umaarufu auze magazeti,Kwani amumjui Huyu .....Wa Kenya ?
ReplyDeletesio mkenya ni mbongo hila alikuwaga kenya,ngoja nisibitishe unatudanganya ili tujae kumbe ni uzushi ili mtuibie elfu kumi zetu,nitakutukanaa na kukutolea siri zako
Deletenimeamini watu wala hawamjui Hamisa kujitia u super star wa bureeee,coment saba nimeandika mimi mwenyewe,kumbe superstar ni Wema Sepetu na Diamond,comment zitajaa hadi mia moja.
ReplyDelete