Lady Jay Dee: Tuzo Yangu ya 30, Nimeipokea na Ninarudi Nayo Nyumbani. Shhhhhh! !!! Kimya Kimya

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Kwenye Ukarasa wa Facebook Mwanamuziki Lady Jay Dee Ameandika Hivi Baada ya Kupata Tuzo ya AFRIMA:
"Lady Jay Dee: Tuzo Yangu ya 30, Nimeipokea na Ninarudi Nayo Nyumbani. Shhhhhh! !!! Kimya Kimya"
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

14 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. That's great jide, sio vitu vigeni kwako ndio maana haubabaiki kama dogo...

    ReplyDelete
  2. CONGRATZ I LIKE UR PERSONALITY USIWE KAMA DOMO AKIPATA MOJA MPAKA AKAPOKELEWE

    ReplyDelete
  3. Na wewe jide kama umeamua kuka kimya kaa kimya kila mtu anamamuzi yake mwacheni daimond afanye anachojickia wasaniiii wa bongo mna roho mbaya sana ampendani kwanini? Mnataka nchi isiwe na mastar au mnataka tusiwahemu mastar wa nchi yetu anapofanya vizuri sisi mashabiki zenu tunawapenda tuko bega kwa bega na nyinyi kwa kila mtakalo fanya na ndio mana tunawapigia kula mnashinda sasa kwanini mnaporudi nyumbani tusiwapoke kwa furaha? Jamani wasanii pendaneniiiiiiiii

    ReplyDelete
    Replies
    1. We nyoko wawapi mtogole wa zamani eeh?manawasasa wengi wamestaarabika.jide kasema wapi hampendi domo punguani wewe.kacheze kigodoro hko namashabiki wenzio.muache jide ni dada jembe nawepishaaa hapahapakufai nenda kwa post ya domo huko.hovyoo.jide dada kaza buti mimi nakuaminia uko vizuri dada naunajiamini hunaushamba.

      Delete
  4. ww mpenda amani jide alikuambia hampendi domo wacha kuropokwa ropokwa upuuzi tu

    ReplyDelete
  5. WEWE MPENDAAMANI AMA MPENDA DADAMOND AKA DOMO KWENDAA WACHANA NA JIDE MSHENZI

    ReplyDelete
  6. Kweli Jide nimeipenda personality yako. Uko mkimya uachukua mambo slow huna papara kama hao viruka njia. Uko kwatuuu mwenyewe kwa kweli Mungu akuzidishie baraka kwenye hiyo career yako ya muziki. Waache hao akina Domo na viherehere vyao kwani havitawafikisha popote.

    ReplyDelete
  7. Mpendaamani naomba msamaha30 July 2014 at 18:51

    Alipo sema shihhhhh alikua na maana gani? Wakati dai anasubiriwa watu pia naomba munifaham sijamanisha km jide ampendi dai ila ukijaji utapata maana ya kauri yake shihhhh kimya kimya jide najua unampenda dai tn sio tuu wasanii woteeeeeeee!!

    ReplyDelete
  8. Huyo jide nae ana roho mbaya kwan tuzo ni yake aache misheuo na ndio tunazid kuijua tabia yake yukoyuko tu badirika mwache diamond atupe raha wewe njoo nayo kimyakimya mpe gadner

    ReplyDelete
  9. Wewe anonymous wa 7.53pm,ndio una roho mbaya kama sura yako,Jide komando na akimpa gardena ni sawa tu,mbona Domo kampa bi mkubwa wake wema,bravooo jide ya 30 na unapiga kimya sherehe nyumbani lodge,wewe mdau hapo juu pesa ya ki ingilio huna ndio maana joto hasira,ka msubirie Domo Mbagala akushikishe Tuzo.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Nimeipenda hiyo mdau.....yaan angepata ya b.e.t cjui ingekuaje.....kwel maskin akipata...........

      Delete
  10. Wewe 10.34pm wewe ni msenge sana

    ReplyDelete
  11. wewe anny 7.53 roho yako wewe ndio mbaya mwezio kapata tuzo ya 30 na ana ustarabuu hajisifu sifu ovyo kama domo. waropokwa wala hujui unachokisema stupid primitive nyie ndo wale wale na tabia za mitaani mwache jide na ustaarabu wenye wivu wajinyonge

    ReplyDelete
  12. Kama kweli yy jide hapend sifa angeenda akarud kimya bila kuandika kwenye mitandai na yy s ametafuta kik angeenda akarud na asiionyeshe hata kwenye mitandao kama kwel kazoea tuzo kina beyonce wanapewa kila mara ika sijawah kusikia kuwa wamezoea yy jide akae na roho yake mbaya huko

    ReplyDelete

Top Post Ad