MARTIN KADINDA Afunguka Kuhusu Wanaume Wanaommemzea Mate Wakidhani ni SHOGA

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mbunifu wa mavazi nchini, Martin Kadinda amesema kuwa amekuwa akikutana na changamoto kutoka kwa wanaume wengi wanaodhani kuwa yeye ni shoga na kufikia hatua ya kumtumia ujumbe wa kumtaka kimapenzi.

Kila mtu anakuwa na maswali yake anaya-raise kutokana na anacho kifikiria katika akili yake, Watanzania tunatabia ya ku-create situation katika akili zetu halafu we want everybody to accept.Kwamba mtu tu anaamka asubuhi may be ana matamanio na wewe anaanza ku-raise hilo swali aone jibu litakuwa ni nini. Wapo wengi (wananitamani) wako hivyo, facebook, Instagram mtu atakutumia namba yake, hakwambii lakini unaona kabisa huyu, nakukubali sana I wish siku moja uje nyumbani kwangu au can I come to your place, mimi sitakagi hata kwenda huko najua nitajiuliza imekuaje mpaka imefikia hivi, basi nasema sawa. Kwa sababu mimi facebook nakuwa mkweli sijawahi kujibu mtu tangu 2012, I have a person huwa anazipitia, akiulizia mtu maswala modelling mpe namba ya fulani, mambo mengine binafsi usiwajibu achana nao, kwa sababu mara ya kwanza nilikuwa ninadhani I should meet these people talk to them this is not right but nikaona unapoanza kuwa unajihusisha ndipo unapojikuta unaanza kuingia bila kujua” Martin Kadinda aliambia Sporah Show.

Pia Martin amesema kuwa ana mpenzi wake ambaye hapendi kumuweka wazi ili kulinda heshima yake.

Ukishakuwa maarufu na mtu wa karibu yako atakuwa maarufu, she’s not already kwa hiyo kitu yakuingia kwenye hiyo cycle kila siku wanamuona kwenye magazeti kwenye Instagram haiko hivyo. Ndiyo maana hata nikiweka picha yake Instagram nitaweka picha yake moja kwa miezi sita, yupo hata ukitaka kumuona kwenye Instagram yangu yupo, first lady wa martin huyu, lakini cycle yake na maisha yake siyo mtu wa kukaa kwenye media nadhani ni kwa sababu ya future ya kazi atayokuja kuifanya kwaiyo anajitaidi kuwa pembeni… Mara ya kwanza alishawahi kuniuliza alipita kwenye comment za watu kwenye blog fulani akasoma, akaniambia najua hii ni Watanzania walivyo, as long nakutambua mwanaume wangu ni mtu wa namna gani I don’t care about these people” Alimaliza Martin
Quote of The Day:

“The sky has never been the limit. We are our own limits. It’s then about breaking our personal limits and outgrowing ourselves to live our best lives.”

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

10 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Akiongea lips zinalowa mate yuuuck!

    ReplyDelete
  2. unajua watu wakiongea jambo huwa ni kwel litakuwa ni shoga!

    ReplyDelete
  3. hilo litakuwa shoga

    ReplyDelete
  4. utakua unaliwa ww watu c wanaambizana pengine kuna mtu ulishampa akawaambia na wenzie...kama kweli hata nataka huo mzigo

    ReplyDelete
  5. Siuoe sasa kuwaziba midomo au anza kuchapa dada zao ili waamini kma wewe mwenzao au kadinda kweli kma jina lako linavyojieleza maneno matupu hawatakuamini action itakuwa poa

    ReplyDelete
  6. Mtoto wa kiume unasema unaogopa kuonana nao coz unaweza kutumbukia huko???? So unahisi kuna ataekusomesha mpaka ukabong'oa??? Mmmmh!!

    ReplyDelete
  7. Yaani nilkuwa nahisi tu kumbe kwwli maana dume zima huwezi kutetea hoja za wema km si mwanamke mwenzake au unaamshwa ucku umsindikize kwenye kigodo kweli wewe mwanaume

    ReplyDelete
  8. wanamtomba hana lolote kwnn anasema anaogopa atatongozwa....kwaiyo ana watu wake wachache wanao mpokoa....toa namba na cc tule mzigo huo

    ReplyDelete
  9. kutombwa kipaji jamani kama kweli unatoa boko kua mkweli mapema bongo ckuizi kama ulaya uciogope uccheleweshe utajiri wako....toa mkundu mapema wakati bado upo vizuri cio usubiri uchoke ndo uanze kutujulisha utapata watu wa bei rahic...toa nyempo iyo bado mnato

    ReplyDelete
  10. hahahahaaaah! hana lolote huyo,atakuwa anauza nyadu tu.

    ReplyDelete

Top Post Ad