Mwanamuzi Bob Junior Naye Afikiria Kutembelea Nyota ya Diamond Platnumz

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Msanii wa muziki na producer, Bob Junior amesema kuna uwezekano mkubwa wa kufanya kolabo na msanii aliyemtoa, Diamond Platnumz.

Akizungumza na Bongo5, Bob Junior aliyetayarisha nyimbo za Diamond zikiwemo ‘Kamwambie’ na ‘Mbagala’ amesema kwakuwa yeye ndiye aliyemtoa akiamua muda wowote wanaweza kufanya naye kazi.

“Kwa sababu nia bado ipo na sisi tupo hai hatuwezi kujua nini kitatokea, siwezi sema natamani ni kijana wangu ambaye nimemtoa mimi nikiamua siku nafanya naye nitafanya naye, haiwezi kuwa na ugumu,” amesema Bob Junior.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

7 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Huna lolote kijana wako umemzaa,wivu tuuu

    ReplyDelete
  2. Mdau 5:27 acha ushamba na kutokuelewa. bob amesema diammd amemtoa sio kamzaa. sasa unabisha diamond hajatolewa na bob?

    ReplyDelete
  3. mijtu mengne mehu kamwambie na mbagala producer n nan ka co bob junior

    ReplyDelete
  4. hizo nipples natamani nizilambe

    ReplyDelete
  5. ushazoea kulamba mboo ww apo juu nenda kanyonye mboo

    ReplyDelete
  6. vee cash sini nana junior njing mshenzi wa tabia mlimbende kazi kumshabikia wema na domo kwa upuzi pia haya yakuhusu nn kumtusi mwenzio. wenzako wafanya ya maana wewe kaa ukiji chokesha vidole kuwatetea na kutukana. seriously u sound soooooo primitive as per ur cheap talks one can easily judge u wat kind of primirive ur. grow up

    ReplyDelete

Top Post Ad