Tarajia Kumuona VJ Penny Kama Mtangazaji Kwenye Show Kubwa ya TV

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mambo yanazidi kumnyookea Ex wa Diamond Platnumz, Penniel Mungilwa aka VJ Penny kwakuwa licha ya kuvishwa pete na kumponya kidonda alichoachiwa na hitmaker huyo, ameendelea kupata deals baada ya deals. 

Penny akipitia script ya kipindi

Mtangazaji huyo wa redio na runinga, ataanza kuonekana hivi karibuni kwenye show inayohusu filamu za Tanzania itakayoonekana kwenye kituo cha TV cha kimataifa kinachoonekana Afrika Mashariki.

Penny na Rio Paul

Katika kipindi hicho, Penny atakuwa akishirikiana na mbunifu wa mitindo Rio Paul.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

19 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. all da best sweetheart penny ril love u

    ReplyDelete
  2. so what?hata utangaze CNN diamond hakutakiiiiii,unafikiri atabadilisha mawazo?penzi ni kikohozi bibiwe,

    ReplyDelete
  3. kwa akili yake anafikiri alivyoachwa Wema akarudiwa ,na yeye anadai movie ya wema na dai ikiisha atarudiwa,utasubiri sana kutafuna hela ya dai.

    ReplyDelete
  4. mi ningekuwa wema ningeenda IFM kusoma,na baby angekulipia school fees,lakini ni ubishoo tuuu kutwa kwenye media ili upate kiki.penny atakupora tena huyo bwana ohooooo cheza na peny wewe,

    ReplyDelete
  5. nargis mohamed kajisomesha ifm uzeeni sasa hivi anafanya kazi bank.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Yaaaap Wema now na wewe nenda shule hata km hutaifanyia kazi hiyo professional but nenda

      Delete
  6. All the best penny .kheiri yako kuwachana na uyo diamond tizama ulivo barikiwa waache wajinga waendeleye na movie yao isiyo kwisha wamekutana wote hawajasoma kizungu hawajuwi waje uwape lecture ya english

    ReplyDelete
  7. WeeeWe ndo mbulula kweli tuulize sie mashoga zake penny,penny anasubiri movie iishe arudi mdogomdogo ndio maana paka sasa Hivi Hana permanent boyfriend,anadai movie itaisha soon,penny bwana!

    ReplyDelete
  8. Go on penny,,,achana na washamba ambao wanahis hauja move on,..live your life,,

    ReplyDelete
  9. Hao unaowaita washamba ndo mashoga zake wanakesha nae bar,Aja move on in relationship anasubiri move iishe,labda ka move on na maendeleo mengine.

    ReplyDelete
  10. Kuna jipya gani kwenye hizo muvi za kibongo mpaka ukaanzishe kipindi hovyo aende zake huko uso mpana kama kitako cha pasi

    ReplyDelete
  11. samahan lakin mbona huko kichwani kweuc???????????????mkorogo umeisha au????????????????????

    ReplyDelete
  12. Wote mnaocomment kumponda Penny..ni wivu tu umewajaa..achane wivu waja kutobwa katobwa yy na dai najua hicho ndicho kinawauma mnatamani Dai angewataka nyinyi sidhani kama mtaakataa kwenda kumpanulia miuchi yenu inayonuka hapo......kamamie penny fanya yako watu wazidi kuumia roho juu yako ww mzuri bhana ndio maana super star dia alikuona na kukuweka ndani hao wanatama watombwe nae ata siku moja tu lkn hadhi hiyo hawana...

    ReplyDelete
    Replies
    1. Nani ampanulie dai? Kwa u handsome gani? Kama kuhonga nasikia aongi sasa tupanue nyuchi zetu kwa kipi?pesa ndo mpango mzimaaaaa.

      Delete
  13. Penny anajielewa sio lile chizi wema beauty without brain

    ReplyDelete
  14. HAJIELEWI CHOCHOTE,ANGEKUWA ANAJIELEWA ANGESHINDA NA HALIMA KIMWANA MUDA WOTE,KISA KUSUBIRI KURUDIANA NA DIAMOND,KWANZA HIZO BONGO MOVIE ANAANGALIA NANI SIKU HIZI,SANA SANA WATOTO NDIO WANASHINDANA KUKODI MIKANDA,HICHO KIPINDI KINAONEKANA KABISA HAKINA TOFAUTI NA JARAA CHA KINA UTI,HAPO MMEIBA WAZOTU,HIVYO HAKUNA JIPYA,

    ReplyDelete
  15. Kiangaliwe kisiangaliwe yeye yupo kazini, penny Ni tofauti Sana na wema ambaye ajishughulishi kabisa yeye kazi yake amsibiri mwanaume gani anapesa amfungulie nyapu lake ampe pesa. Aibu karne hii! Hivi nyie timu nyapu mkiulizwa huyo mnaemuita super star anafanya kazi gani? Wapi? Au ameshatoa move gani yake binafc mtajibu nini? Kama c anauza nyapu. Na hata hiyo bihashara ya nyapu bado anaifany kishamba wanzake asbuhi uwa na viofc, address. Nyote timu upupu mna mawazo mgando. Mwambieni wema wenu ukweli. Domo anafanya yake akuna muacha atajinyonga kwa kutumia kinyesi chake.

    ReplyDelete
  16. we mtu hapo juu jiangalia kwani huyo pen nyapu hafungui angekua ana akili sana alifata nini kwa dai na kwa elimu gani aliyonayo penn ya kuwa dj????? hahhaha embu kama hujaona kundu la mwenzako uangalie lako kwanza pen na wema ni wale wale kinachowasaidia ni izo english otherwise wote hawajasoma kama utangazaji hata wema anaweza

    ReplyDelete
  17. Huyo penny mwenyewe alilia,kisa dimond kamuacha,hoo ana roho nzuri sana,hoo namkumbuka,kama yeye ana akili kuliko wema kilimliza nini,hivi hizo kazi za utangazaji umeona ndio kusoma,MAKOLO.

    ReplyDelete

Top Post Ad