Mwanaume kama hujui kutunza utaishia kuitaga shemeji

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Sasa leo nataka niseme kitu kimoja kwenu wanaume,

Mwanamke mzuri anahitaji pesa jamani,usitegemee utampata mwanamke mzuri kwa sasa hivi kama hauna mkwanja mrefu,hilo sahau kabisa,

Vinginevyo utaishia kuwaita mashemeji tu kwa hiyo wakati ukimtamani mdada mrembo ujue hadi unamuona mrembo ni pesa hizo.

Unakuta mkaka unawasiliana nae wiki nzima,unamjib text,akipiga unaongea nae fresh haha unashindwa kutuma tigo pesa hata elfu 30 useme jiunge bando?

Wallah mie nasemaje kama huna pesa au hujui kutunza usinisumbue kabisa coz hatutoendana
Unataka meeting na mie hutumi hata laki 1 ya saloon licha ya mafuta ya kukufata inahuuu
Badilikeni basi.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Ni umalaya tu unao kusumbua

    ReplyDelete
  2. wanaume sikuizi tuna nunua magari na kujenga majumba. nyie Malaya endeleeni kutumia dawa za kichana tu. tunataka watoto natural wakuwaoa. hahahahaha corner bar kuma za bure zipo nyingi tu. unataka utumiwe laki moja kwa lipi jipya ulilonalo

    ReplyDelete
  3. Umekosa kazi ya kufanya,kula pesa ya wajinga

    ReplyDelete
  4. Hakuona kuwa watu tupo kwenye mfungo.....yeye analeta harakati za kwenda motoni tuuu....ss tunajijengea akhera....endelea na urembo wako tuu....ipo cku utakuja kukusaidia

    ReplyDelete

Top Post Ad