E. Mbasha kwa Nini Hukujibidisha Upate Hela Zako?

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Pole kwa yaliyokukuta but cha kujiuliza pamoja na kuwa kwenye game zaid ya miaka 10 (kwa ufadhili wa Flora) iweje leo unalia lia tu kwenye media kuwa Flora kakuacha? 

Kwani huna kisomo, nguvu na maarifa ya kukufanya upate hela na ujitegemee? Acha kulia lia na media eti umeporwa mke. La muhimu jipange uanze upya na ukipata pesa ama Flora au mwanamke yeyote atakuja mwenyewe (bila kutongoza) otherwise usipojibidisha na kufanya kazi unaweza kuandika historia mbaya (Cameron).

We mwanaume pambana.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

7 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Aliyeandika hii story ni falaaaaa, umesoma aliyoyaandika kwenye barua ya yule mbwa mwitu gwaminya sijui gwajima, hujui kuwa hata kama mwamanke anakipato kikubwa mume wako ndio anaweza kuwa mastermind? Mpuuzi wewe shut your fucking brain

    ReplyDelete
  2. kinachoangaliwa hapo ni ndoa wewe mtoa mada kama haujaolewa hauwezi kujua kitu hivyo nyamaza tuu ndugu yangu. HIYO NI NDOA LAZIMA IESHIMIWE NA WATU WOTE HATA KAMA KUNA MAPITO MAGUMU KIASI GANI. Ndoa haiangalii nani anakipato kikubwa. FLORA NA MBASHA NI WAKRISTO SAFI. Hakuna kutengana mpaka kufa mbasha huleeeeeeeeee

    ReplyDelete
  3. Huyu nae ovyooooooooo,hivi unakosa story za kuandika?
    Waache Flora na Mbasha wapumzike sasa,alichokiunganisha Mungu mwanadamu huwezi kukitenganisha.Pumba tu.

    ReplyDelete
  4. Mpambe nuksi admin

    ReplyDelete
  5. admin huwa nawashwa mkundu sana..sijui tumfatute nani amfire kidogo tu

    ReplyDelete
  6. mwanaume unapaswa kuwanachako hili ueshimike so adminn huko sahihi

    ReplyDelete
  7. cha zaid wote muwe na roho ya kumuhofu mungu;mtayashinda yote.

    ReplyDelete

Top Post Ad