Ray' Sasa Nimerudi Kazini Nitarudisha Bongo Movies Kama Enzi za Marehemu Kanumba'

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

MUONGOZAJI na mwigizaji mahiri katika tasnia ya filamu Swahilifilamu Vincent Kigosi ‘Ray’ amesema kuwa hajatoweka katika tasnia ya filamu bali alikuwa akijipange kwa ajili ya kuangalia soko la kimataifa kwani soko la ndani tayari wamelishika.

Ray anasema kuwa wapenzi wa kazi zake wajiandae kupokea kazi mpya ambazo zipo tayari zinakuja huku akiwa ameendelea na mpango wake wa kuendelea kuibua vipaji vipya ambavyo vitakuwa nyota baada ya kazi hizo kutoka.

Samahani sana wadau wangu, naombeni sana mnisamehe kwa kupotea kwa kipindi kirefu, na yote haya yanatokana na majukumu ya kufanya kazi kimataifa zaidi, soko la ndani tumefanikiwa, nisingependa kuja kwenu na mikono mitupu, hivyo mtarajia kazi zenye ubora”anasema Ray
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

12 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Mh jitahidi kwa kadri ya uwezo ILA kanumba alikuwa kibokoyako kumfikia vile jikaze haswa kafa na tasnia inayumbajee

    ReplyDelete
  2. hakikisha kuwa unaishi na johari na sio vinginevyo, unanipata?

    ReplyDelete
  3. Mmmh bola uwe na johari kuliko uyo m mama mwenye watoto we kijana unaitaji ndoa yako na watoto wako uyo hakufaiii anatamaaa tu

    ReplyDelete
  4. Unapendezea sana kuwa na Johari

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kila mtu anaishi apendavyo

      Delete
    2. Wewe una muona chongo mwenzio anasema kengeza

      Delete
  5. Ukitaka umfikie kanumba uachane na hilo lijimama!unapendeza kuwa na johar na sio chuchu!ww na johar ndo mtafanya kazi vuzur

    ReplyDelete
  6. Wewe nae unapenda kuma konda sasa iko nn kijitu kimekondaaaa watoto w awil kaolewa kaachika kaolewa kaachika nawe ulivyo na limbuken na kuma bac uyo kukimbilia utakuja kufa dogo kuma zipo fanya kaz kwanza bwegeweee

    ReplyDelete
  7. Sawa tumekuelewa, lkn hebu achana nna huyo mmama, mbona Johari unapendezana nae sana Ray, huyo anatafuta tu umaarufu kupitia wewe na ni mke wa maonyesho kama ya sabasab huoni wenzio walishindwa hivi wewe mbona husikii na huyu binti? Aaa badilika bana Kanumba hakua na skendo yakuwa na wamama kama hii

    ReplyDelete
  8. Tunaisubiri lkn cheza na Johari kama ni kweli unataka kuirudisha hii tasnia kama enzi za mpendwa wetu the great, hivi bi Mwenda upo wapi umkaripie Ray na huyo chuchunge wake

    ReplyDelete
  9. kwani alikuwa wapi?anapenda kujifalagua mpenda mkundu mkubwa,kibamia

    ReplyDelete
  10. wabongo kwa ku2kana mpo juu!!!! nyie hamjui chuchu anampa nn!!!johari c kamchukueni nyie??? chezea toto la kitanga ww!!!!!

    ReplyDelete

Top Post Ad