Ugomvi wa Ray C na TID, Ray C Umejitakia Mwenyewe Kutukanwa

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Jana kwenye Mitandao mbali mbali hasa blogs na Insta Kulienea habari kuwa Tid Amemtukana Ray C matusi ya Nguoni Baada ya Ray C Kupost kwenye Picha aliyopost TID Instagram Akimwomba Waongee.......Ni Ukweli Usiopingika kwamba TID alikasirika baada ya Kuambiwa Hivyo Hadharani Kwani Ray C Kwa sasa anajaribu kuwashawisha wasanii mbali mbali wanaotumia Madawa ya Kulevya ili Waache kwa Kuhudhuria Hospitalini , Hivyo kauli hiyo ilikuwa ni mwiba kwa Msanii TID na Badala ya Kujibu Vizuri naye alianza kuporomosha matusi ....

My Take:
Najiuliza Kwanini Ray C hakutafuta hata number yake ya simu ama kumtafuta Face to Face na Kuongea na Kumshawishi, Ndio tunajua kwamba TID anatumia ila Si kumwambia Hadharani Kiasi Kile Tena Kwenye Profile yake ya Instagram , Hata kama Hakumwambia Direct ila Ile Kauli si nzuri kwa mtu Ambae Tayari Ameathirika...So Nadiriki Kusema Ray C Alijitakia Mwenyewe!
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

14 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Mwandishi gani wewe?''eti Ray c kajitakia'' Kwa nini awazie mazungumzo ya madaya ya kulevya tu?kwani wasingeweza kuongelea muziki ukizingatia wote ni wanamuziki?Ray c kaandika vizuri sana,kisomi hasa,TID angetumia busara kujibu tungemuelewa vyema,ila kwa majibu hayo anaonyesha kabisa alikuwa kabwia sembe tayari,Pumba

    ReplyDelete
  2. rey c hajajitakia'huyo t.i.d angemwoliza tuongee nin na sio kuanza kutukana kwan alijua wanataka kuongea nini!kama amejua bas aache! Ukwel unauma cku zote!big up rey c

    ReplyDelete
  3. Mwandishi tatizo lako njaa kali unahongwa kuandika habari hutumii taaluma yako ya uandishi, wewe bwege na huyo T.I.D wako wote wala sembe.,,

    ReplyDelete
  4. Nina mashaka na ufikiri wako! Huna uwezo wa kuchanganua mambo!alichokosea Ray C ni nini? Kwani mtu mwenye hekma akiombwa tuongee atatukana? Mi nafikiri wewe mwandishi kanjanja mna mawazo sawa na huyo TID!nimefuatlia sana habari zao jinsi walivyojibishana! Ukweli TID si mwanaume mstaarabu hata kidogo,hakumwambia kiubaya bali yeye TID ndii kaudhihirishia umma ya kuwa ni mtumiaji mzuri wa madawa!

    ReplyDelete
  5. wee ZERO kabisa,hukufaa kuwa mwandishi wa habari hata kidogo.habari zako nyingi hazina mashiko,rudi darasani bhana.

    ReplyDelete
  6. hajakosea chochote ray c yupo sahihi kwani tatizo nini hata kama alikuwa anataka kumshauri achane na matumizi ya madawa mimi sioni kosa hapo hata kidogo

    ReplyDelete
  7. Ray C dawa ya wapumbavu ni kuwakalia kimya,achana kujibizana na mtu yeyote juu ya swala hili,achana na wapumbavu,usizungumzie chochote.Mashabiki zako tunajua ulikuwa na nia nzuri.Pole sana.

    ReplyDelete
  8. TID nikikukuta popote nakutandika.....

    ReplyDelete
  9. Message for TID, you are on drugs. you are a slave to drugs and not good for you. Lazima ukubali kuwa una tatizo and before you know it utakuwa kama mwenzio tuliyemzika mwaka jana. Unga haukufikishi popote my friend, mwanagalie KC and Jojo, Sasa hivi hadi sura unafanana nao, whitney the list goes on. Unamwona Ray C mbaya na amekuabisha, yeye amejishusha kiasi gani kukubali ana tatizo la madawa? lakini at least ni mzima na anataka kukusaidia. No one will ever take you serious katika fani yako... YOU ARE A JUNKY!!!!!!! JUNKY JUNKY JUNKY juu hadi chini it I so obvious hata kwenye picha! pole sana

    ReplyDelete
  10. Nakupa Big up anony wa 9:00PM. TID asiitwe tena TID the best in Dar? hapana aiwte TJD The Junky of Dar!! RayC achana naye huyo unahangaika naye wa nini?

    ReplyDelete
  11. The Junky in Dar? hiyo nimeipenda!! TJD!

    ReplyDelete
  12. mmmmmmmm wote pumba TID NA RAY C

    ReplyDelete
  13. Tid ni mpuuz tu

    ReplyDelete
  14. mhh! ukweli unauma!

    ReplyDelete

Top Post Ad