Baada ya Kufanya Siri Sasa Mambo Hadharani Kati ya Petit Man na Dada wa Diamond

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Hivi karibuni kumekua na tetesi za chini ya kapeti kuwa dada yake msanii Diamond, Esma ana mahusiano ya kimapenzi na mfanyakazi wa ENDLESS FAME, Petitman maarufu kama Mutoto ya Madame Wema au Petitman Wakuache....sasa leo hii imebainika wazi kua wawili hao ni wapenzi...

Ilianza hapa....

MENEJA wa Wema Sepetu, Martin Kadinda aliweka picha hii kwenye ukurasa wake wa instagram ana kuandika "ALERT!!! ALERT!!!"
 Akiashilia kuna kitu hapa........

Hatuja kaa vizuri Usipojipanganitakupanga wa Instagram akaibuka na hii:

Nifuate Instagram Kujua Mengi :Bonyeza hapa: Instagram
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

11 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Yaaani wakiwa wapenzi shida nini

    ReplyDelete
  2. Nyie wate mnavurugwa

    ReplyDelete
  3. Kwani kuna under 18 hapo wote watu wazima wanajua wanachokifanya

    ReplyDelete
  4. Esma kaanza naye skendo za wifi yake zamani unatafuta picha ya esma lakiji sasa uchafu imekuwa ao ndiyo nayeye anataka kuwa staa kama wema maana mpaka style ya picha anapiga kama wema

    ReplyDelete
  5. Mekosa cha kuandika pimbi wewe

    ReplyDelete
  6. Haya panya nao ndo wa kupostiwa kwenye hiii blog! sioni umuhimu wao!!

    ReplyDelete
  7. Wifi na house boy

    ReplyDelete
    Replies
    1. Teh teh teh wote sijui wanafanya nini mjini hapa kutwa totoake doll ake...mmmh watoto sasa wa dol ake na toto ake aunt yao miss magazeti uuuwii I can't wait to see..........

      Delete
  8. Msafara wa Kenge mjusi awakosekani!

    ReplyDelete

Top Post Ad