Naibu Waziri Stephen Maselle Na Mchange walipanga Kuilipua Helkopta Ya CHADEMA ili Kumuua Slaa

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Diwani Sebastiani amewaambia wanahabari kuwa mwakajana walifanya vitendo haramu wakishirikiana na CCM na baadhi ya waliokua wanachadema wakiongozwa na Mchange. Wanasema wamekuja kuomba toba kwa viongozi wa juu wa CHADEMA na wanachama ili wasamehewe kwa usaliti huu mkuu Wanasema baada ya Zitto kuvuliwa madaraka ndani ya Chadema ,Mchange alipewa Dili na CCM la kuwarubuni madiwani na viongozi ndani ya CHADEMA ili watoe matamko na kuonyesha kuwa Chama kina mpasuko Anasema January 2014 Mchange alimpigia simu kuwa Naibu waziri wa Nishati na Madini Steven Masele ana dili la shilingi milioni 180. Na baadae Masele alimpigia simu wakakutana na kupanga njama za kufuatilia ziara ya Dr. Slaa kanda ya ziwa na kupanga kuilipua Helkopta ya Dr.Slaa iliyokua itue Shinyanga

 ANGALIA VIDEO HAPA CHINI:
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Nyie nanyi kwakutafuta kiki na umaarufu wenu wa asubuhi jioni umeisha..fanyeni kazi tuliyowatuma sio dada zenu walalamike na nyie mlalamike pambaneni tuione kazi story za kuombana msamaha kwa vidume wenzenu ipo cku mtaambiwa mkitaka msamaha tupeni..Mungu pekee ndie anastahili toba za wanadamu..mi nawapenda ila kuna vijitabia vyenu vinaboa..mimi nipo jimbo la mdee kawe maji ni ndoto tumeongea hadi tumechoka barabara uuwii mwakani cjui atatuahidi nini tena nae kma chama chakavu ahadi hewa fanyeni tuliyowatuma

    ReplyDelete

Top Post Ad