Emmanuel Okwi atua Msimbazi kwa mkataba wa miaka miwili, Asema Yanga Wamemuacha

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Emmanuel Okwi kusaini mkataba usiku huu mkataba wa miaka miwili Simba.

“Yanga wameniacha, nikachukua uamuzi wa kurudi Simba na kuomba kuichezea nao wamenikublia.

“Najua Yanga wamenishitaki TFF au Fifa, nitaendelea kulishughulikia suala hilo wakati nikiwa naitumikia Simba.

“Nashukuru kwa kuwa wamenipokea kwa mikono miwili,” alisema Okwi akionyesha kujiamini.

Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili ya Simba, Zacharia Hans Poppe amesema wamemchukua Okwi baada ya kuandika barua kuomba arudi.

“Tumempokea baada kuipokea barua yake na kuijadili, kwa kuwa Yanga wamemuacha na hata FIfa inasisitiza wachezaji kupata nafasi ya kucheza ili kuepusha kuua vipaji vyao, tumeamua kuwa naye,” alisema Hans Poppe. 

Baada ya kumpokea kwa mikono miwili, Simba imeamua kumrudishia Emmanuel Okwi jezi yake namba 25.

Kabla ya kuondoka kwenda Etoile du Sahel alipouzwa 'bure' na Simba chini ya Ismail Aden Rage, Okwi alikuwa akitumia jezi hiyo

Yanga pia walimpa jezi hiyo, lakini leo Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili ya Simba, Zacharia Hans Poppe amethibitisha kuwa Simba imempa Okwi namna 25.

Baada ya kupokea namba hiyo, Okwi kesho anapaa Zanzibar kuungana na wenzake ambao wako kambini kujiandaa na Ligi Kuu Bara.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

9 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hivi huyu ni Okwi wa Sintah

    ReplyDelete
    Replies
    1. sijui,ila ana limama kimara mwisho.

      Delete
    2. ndo huyohyo ila kwa sasas ni okwi wa msimbazi

      Delete
    3. Ana jimama lina pesa hilo---kimara mwishooooooooo,
      ndio maana anang'ang'ania bongo soka

      Delete
  2. hivi hizi sheria zetu za michezo ziko vipi? yani mchezaji mwenye mkataba anauruhusiwa kuiringia timu yake au kufanya analotaka yeye alafu akitaka pewa adhabu anakimbilia kwingine? huyu fala aliisumbua sana Yanga kwenye usajili mpaka kwenye uchezaji, na fedha nyingi sana ziliwatoka Yanga, sasa kama Yanga wakimwachia anze cheza tu kiulaini simba, basi watakuwa mafala kweli, labda simba walipe hilo dau la dola 300,000 kuvunja mkataba!

    ReplyDelete
    Replies
    1. we bwege nini????????????yanga wamesitisha mkataba wewe yanga wamempa barua ya kumuacha kwanza ndo akasaini simba.

      Delete
    2. kaka yule ni shoga tu, na yanga ikiamua mkomalia hachezi!!!

      Delete
  3. Okwi ni kama mwanamke malaya,
    Pumbavu,

    ReplyDelete
  4. asipoangalia mpira utamuishia bongo

    ReplyDelete

Top Post Ad