Baba yake Beyonce afichua siri ya tetesi za talaka kati ya Jay Z na Beyonce, Bey aripotiwa kuwa mjamzito

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Baba yake Beyonce Knowles, Mzee Mattew Knowles afichua siri ya kuwepo ripoti kuwa mwanae anataka kuachana na Jay Z huku akigusia pia kuhusu kilichosababisha ugonvi kati ya Solange na Jay ndani ya lift.

Katika mahojiano aliyofanya na Roula &Ryan Show wiki hii, Mzee Mattew alieleza kuwa anachofahamu ni kwamba tetesi hizo za talaka ilikuwa mbinu ya kuuzia tiketi zaidi za tour yao.

Ameeita mbinu hiyo kuwa ‘Jedi Mind trick’ ambayo maana yake ni nguvu ya kucheza na akili ya watu kwa kutengeneza utata fulani ili kuwafanya wafikirie unachotaka kwa maslahi yako (kucheza na fikra zao).

“I know, because we’ve done this. From experience, there’s a tour going on,So you sometimes have to ignite that tour. It’s called a Jedi mind trick. The Jedi mind trick fools you a lot.” Amesema

Alipoulizwa kuhusu ugomvi kati ya Jay Z na Solange, mzee huyo aliendelea kushikilia msimamo wake kuwa ile yote inaweza kuwa trick ambayo imewasaidia pia katika tour hiyo hiyo na imesaidia kuuza albam ya solange kwa asilimia kubwa.

“All I know is the Jedi mind trick. Everyone’s talking about it. Ticket sales went up. Solange’s album sales went up 200%!”

Katika hatua nyingine, jarida la OK limeripoti kuwa Beyonce ni mjamzito tena hivyo wawili hao wanatarajia kuwa na mtoto wa pili.

Kwa mujibu wa chanzo chao, tangu mwezi mmoja uliopita Beyonce amekuwa akichagua vyakula kama alivyokuwa anafanya wakati anaujauzito wa Blue Ivy na kwamba Jay Z amekuwa akihakikisha kwamba hapati stress yoyote.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

9 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Kama wema na dai wanavyochezea Akili za watu,

    ReplyDelete
    Replies
    1. Wewe nae unafananisha mlima kilimanjaro na kichuguu au bahari na swimming pool. ..who z wema n dai..mahawara wa karne

      Delete
    2. Hahahahahahaha!mdau umenichekesha, wema na dai?kule kukata mauno kwa stage ndio JEDI MIND TRICK?

      Delete
  2. Sasa mimba za sisi zina tuhuhusu nini wakati raha zao wenyewe hao wanataka umaarufu

    ReplyDelete
  3. Couple wanaovuma bongo sio Wema na Dai?acha wivu,Dai ni jay z Wa bongo na wema ni Beyonce Wa Bongo.kubali kataa,issue zao zikitolewa 1000 comments.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Acha usenge!sasa unamwita Diamond Jay z wa bongo hapo ndio umemsifu au umemkashifu?we ni mjinga wa kimawazo basi na wewe tukuite ndio Wema wa huko mtaani kwenu tandale kama kumuita jina la mtu mwingine mwenzio ndio kumsifu!acha ukuma!jikubali mwenyewe si kujiita majina ya watu kama mtoto anayejiita Rambo au uwe ni mtoto mdogo na wewe basi utanisamehe kwa matusi ila kama ni mtu mzima narudia acha ukuma!utafirwa hovyo na majina ya watu wewe!

      Delete
  4. yami mim na washagaa sana wa bongo vya dani atubipendi ila vya nje ndo nsmber moja.ivi tutatwaliwa mpaka.lini.jaman kama.cyo mim na.wew yukibadilik??????

    ReplyDelete
    Replies
    1. Duh! Mpaka leo hujaizoea tu simu ya touch screen? Naona unaandika tu kama kuku anaparuza, angalia basi spelling dogo kabla hujatuma comment!

      Delete

Top Post Ad