Halima Mdee Ajisalimisha kwa Mchungaji Gwajima

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Katika hali ya kutokutegemea, Halima Mdee kaamua kujisalimisha kanisani la Ufufuo na uzima lililopo Kawe.

Kitendo hicho kimemuamsha Gwajima na kusema Kanisa la Ufufuo litakuwa naye katika uchaguzi wa 2015 na watamchagua tena.

Kanisa la Ufufuo na Uzima limemuahidi kumsaidia Halima Mdee kuhakikisha shule zote za Msingi Kawe zinakuwa na Umeme vilevile watahakikisha wanafunzi wote wa shule za Msingi Kawe wanakaa kwenye Madawati.

Gwajima kaitaka Serikali imruhusu kufanya Mikutano katika Mikoa ya kusini mwa Tanzania. Kasema gesi ni ya watanzania, Hata hivyo kasema migogoro ya Gesi haihusiani na imani za watu hivyo kataka waislam na Wakristo waruhusiwe Kufanya mikutano kusini Mwa Tanzania. Kaitaka serikali itambue gesi ni kwaajili ya Watanzania hivyo watanzania ndio inabidi wanufaike kwanza na hiyo gesi.

Band ya Jeshi la Magereza ndiyo imealikwa kumpigia Nyimbo Halima Mdee atakapokuwa anasimama kutoa salamu. Kasema anamheshimu Halima Mdee kwa kuwa ndiyo Mbunge Mwanamke wa kwanza Tanzania na Dar es Salaam kutoka Upinzani kushinda Uchaguzi bila kutoa Rushwa.

Kasema Halima Mdee anaiwakilisha na kuitangaza vizuri Kawe hivyo wanakawe inabidi watambue Umuhimu wake.

Gwajima anasema sisi ni Watanzania hatupaswi kuwekewa mipaka sehemu ya kufanya Injili ndo maana nimenunua Helkopta kuzunguka Tanzania nzima hata huko Mtwara nitaenda japo Serikali inakataza. Watu wa Mtwara nao inabidi wamjue Mungu ili kupunguza Uharifu. Vilevile Gwajima na washirika wake wamesema wanaunga Mkono Serikali Tatu. Kasema wale wanaodai mbili hata hizo mbili hazipo. Zingekuwa mbili kama Tanganyika ingekuwepo.

Gwajima kasema Zanzibar ipo lakini ipo na Serikali nyingine ambayo ni Tata. Hivyo watu wanapaswa watambue uwepo wa Tanganyika. 

Kasema Tanganyika na Zanzibar ni mbili tayari hivyo tunatakiwa tupate ya Tatu ambayo inaziunganisha hizi mbili. 

VIDEO:

----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

11 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Huyo mwanamke naye kiherehere chake maneno meeeengiii. Anashindwa hata ku provide datas ku suppot huo uwongo anaozungumza hovyoooooooooooo

    ReplyDelete
  2. Flora Mbasha yupo wapi?

    ReplyDelete
  3. Nataka namba yake

    ReplyDelete
  4. Halima mdee utapigwa pumbu ohooo

    ReplyDelete
  5. kampeni zimeanza kumekucha, huyu dada anajuwa kawe wamemchoka anatafuta pa kufiamo

    ReplyDelete
  6. haop ndio kajiharibia kabisa kampeni ndani ya kanisa hata huyo mschungaji naye anamatatizo

    ReplyDelete
  7. Nampenda huyu dada ikibidi nimuoe kabisa.Naomba contact zake kwa mwenye nazo...!

    ReplyDelete
    Replies
    1. Utamuweza?anaongea mpaka povu.

      Delete
  8. wewew unataka kumuoa au kulelewa pumb weweeeeeeeeeeee

    ReplyDelete
  9. Tanil Somaiya, mmiliki wa shivacom na Ultimate security anayo helicopter long time na inapaki pale Sea Cliff hotel karibu kabisa na magari.
    Sasa Gwajima sio mtu pekee kumiliki helicopter hapa TZ.

    ReplyDelete
  10. Pumba tu, haya mambo ya dini na siasa wapi na wapi? hamna kumpa kula mtu kama huyu, hajiamini, labda amesha vuruga wananchi wake kwenye eneo lake na walio wengi hawamtaki tena, piga teke kule wabunge wanaousudisha njaa zao kwa kushiba kwa kupitia siasa uchwara

    ReplyDelete

Top Post Ad