H.Baba: Diamond Muoe Wema Muishi Kwa ‘Raha Mustarehe’

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Msanii wa muziki na filamu H.Baba ambaye yupo ndani ya ndoa na msanii mwenzake Flora Mvungi ametoa maoni yake kwa kile kinachooendelea kati ya pande mbili za kishabiki za Diamond na mpenzi wake Wema.

Kupitia ukurasa Instagram, H.Baba amesema:

Tanzaniteone uyo anawaambia sina chakusema kuhusu baba yangu na mama yangu ila baba analolakuwaambia Wema na Naseeb. Wema kapewa lawama nyingi ila asilaumiwe kwasababu kuu nyingi tu anaeweza kumuongoza Wema ni Naseeb au mama Wema na Martin, upande mwingine Wema na Daimond wanamakosa kwani wanasubiri nini kuowana kama Kweli wanapendana wangefunga ndoa yaya yote yasingetokea kusaidiana kazini ipo ata mie huwanapanda na Mama Tanzaniteone kwenye show zangu pia filamu ya wife nashiriki. ushauri wangu Diamond unaweza kumuongoza Wema vyema tuu kama mimi ninavyomuongoza Mama Tanzaniteone ninaimani unaweza kumuongoza vyema zaidi yetu sisi. Wawili wakipendana kuingilia penzi ni inshu ila wanapendezana sana chamsingi wangesaidiana kwenye kazi zaidi kama wema anavyoonekana akitoa #saport kubwa kwa #NASEEB na naseeb aonyeshe ushirikiano kwenye mov za wema awepo pia watauza sana kama tunavyouza filamu zetu Mie namamatanzaniteone Ikitoka leo inaisha fasta.

Pia amuongoze kwenye kipindi cha WEMA SHOW mnasaidiana kwelii ata maadui wataogopa #diamond anaweza kumpandisha wema na wema anaweza kumpandisha #daimond wote mnanguvu sana mnamashabiki sana #owaneni mtulie tuuu kwani nn mnakosa mbona sisi tupo tunaishi vyema kwa uwezo wa mungu kazi tunapata mtoto tunamlea vyema hatujalala Njaa kwasababu mwanaume kazini mwanamke kazini #NDOA raha sana asikudanganye mtu unaheshimika popote palee kama #Mume wa mtu na #mke wa mtu #Muda ndo huu umriii uwoo unakwenda fanyeni yenu fasta #leo juu kesho chini #tunawapenda sana tunawatakia maisha mema yenye Furaha kama sisi apa tunafuraha Muda wote? Karibuni kwenye ndoa muone rahaaa..
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

9 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Nampenda hbaba na mkewe wenyewe hawana makuu hawa watu wanaridhika nawakipatacho kiwe kidogo au kikubwa mungu awape upendo wamilele eeemenii!!@diamond sizani km atakuja kumuoa wema ilo tusahau mfano mzr juzi kaulizwa unafikiria kuoa? Kajibu hana wazo ilo kwa sasa anaogopa kushuka kimuziki heheeeeheeehheeehee tuwachie wenyewe wema na dai mana bado watoto

    ReplyDelete
  2. H. Baba ndio nani kwan? Admin nisaidie simfaham huyu mtu

    ReplyDelete
  3. 10:13 unatiwaga?

    ReplyDelete
  4. 10:13 H. Baba ni yule aliyemtoa bikira mamako

    ReplyDelete
  5. 10:13 H. Baba ni yule aliyemtoa bikira mamako

    ReplyDelete
  6. na mamatanzaniteone ni yule aliyefirwa pale mwembeyanga usiku kucha, mmfyyuuuu

    ReplyDelete
  7. Matusi ya nini sasa???? Si mumfahamishe tu

    ReplyDelete
  8. ukiwa mtoto halafu hujitambui kama wewe ni mtoto ni tatizo kubwa Sana kuanzia kuongea hadi matendo, alichoongea H Baba ni busara Sana sikutegemea kama mtu utafika na kukejeli, we unaejifanya humjui H ni mwanamuziki, Ni kweli Wema amekua akimsapoti Sana Dai lkn Diamond yeye sio kiviiile kwa madam, lkn sio shida Diamond kama huna future na huyo binti ni bora tu ungemwambia msipende kunufaisha magazeti, hongera H Baba kwa kumpenda mkeo Mungu azidi kuwaangazia heri

    ReplyDelete
  9. Mr kinywa aoe wakt bado hajamaliza kushangaa wanawake wazuri hahaha ushamba mzigo jmni....inaelekea domo alijiapiza akiwa star watamkoma wadada..angekuwa kazoea madem tangy zaman km kina aly k asingekuwa analimbuka na kuhaha namna hoi msenge huyu

    ReplyDelete

Top Post Ad