Kutoka "Mke mtarajiwa" Hadi" Mchepuko"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Kuna kisa kimenikuta nimeona sehemu pekee ya kupata ushauri na mawazo mapana ni kwenu! 
Nilikuwa na mchumba ambaye tulikuwa tunapendana sana na muda si muda tungefunga pingu za maisha. Ghafla mwenzangu alipata safari ya kwenda Marekani na kuniomba tuahirishe zoezi mpaka atakaporudi kwani asingechukua muda mrefu. 

Nikamkubalia; akakwea zake pipa na alipokuwa huko mawasiliano kwa njia za mtandao yaliendelea. Siku moja akaniambia hawezi tena kuolewa na mimi kwa kuwa alikuwa anataka kufunga ndoa na mtu mwingine. Nilisononeka sana kwa namna nilivyompenda, lakini nikawa sina namna zaidi ya kumtakia kila la heri katika mahusiano yake hayo mapya. Baada ya kuuguza maumivu, nikapata” material wife” na tukafunga pingu za maisha. Sasa nina miaka kadhaa kwenye ndoa.

Hivi karibuni aliyekuwa mchumba wangu karejea kutoka America na akanitafuta kwa udi na uvumba na akafanikiwa kunipata. Ananiambia bado ananipenda na yuko tayari kutoa gharama yeyote ili nimwache mke wangu. 

Kaweka “one billion” nikamtolea nje! Nikamweleza namna ambavyo tunaishi na mke wangu na watoto kwa amani na kwamba nampenda mke wangu na watoto sana. Hivyo pendo langu kwake limeshapata replacement. 

Baada ya majadiliano ya muda mrefu mrefu akarealize kwamba hawezi kunishawishi kwa namna yeyote kumwacha my beloved wife, akaingiza hoja nyingine ya kuwa second wife kwani hawezi kuishi bila mimi. 

Na kwamba kama nikimkatalia na hilo basi hana haja ya kuendelea kuishi. Anasema kama pesa anazo lakini kakosa mwanamme aliyemwonyesha mapenzi ya kweli na aliyemfikisha kileleni kama mimi. Hilo ndo linanitisha nikaona niliweke kwenu wadau! 

Karibuni kwa ushauri.
By Usedcountrynewpipo
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

9 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Fake story! One billion for what ? Umaskini huu Bongo eti ukatae ..hovyo..tafuta utunzi mwingine sio huu...

    ReplyDelete
  2. Very phony story, from the beginning up to the end.

    ReplyDelete
  3. Mjinga kweli hivi mboo yako inasimama kweli km wewe ndiye unamfikisha kenn alikuacha usiwe bwege wewe jiongeze hivi vitu vingine mbona haviitaki ushauri anaetaka kujiua atakuambia na wewe mwenyewe bichwa kubwa atajiua lofa wewe

    ReplyDelete
  4. Tulia na mkeo mlee watoto acha tamaa, ushauri, ushauri wa nini, ili ufanye nini, mtaambua magonjwa, si umeshakataa hadi pesa sasa ushauri wa nini, basi muache mkeo umuoe maana unaonekana hauna msimamo, ukimuacha mkeo, atasema alikua anatania ili aone kama kweli ulikua unampenda, mwanaume wewe kuwa na msimamo uarabuni utagegedwa bure

    ReplyDelete
  5. xaxa wewe alikukataa wa nini alikuona haufai iweje tena akutake umebadilika nn achana nae kk atakuharibia bure ndoa yako 2za watoto wako mungu atakusaidia utapata zaidi yake achana nae

    ReplyDelete
  6. Achana nae kabisa asikuharibie kabisa ndoa yako. Mm n mwanamke na najua tabia za wanawake wenzangu,uyo ndg ataka kukuvurugia ndoa yko na ukimpa nafac ucmlaumu mtu yeyote kwan kama unamuona bora kuliko familia yko shaur yko. Au pesa kama unaiona bora kulko family yko utajiju. Kama alijua hvo toka mwanzo y alkuacha!? Jiongeze akili ww.

    ReplyDelete
  7. Ndoto za mchana eti upewe bilioni 1 una mboo yenye tanzanite au diamond? Huna lolote usikute wewe kibamia ndiyo sababu alikuacha!

    ReplyDelete
  8. Ni fake story but ka inatokea kweli bilioni nachkua na namtupilia mbalini akajiue malaya mkubwa.. c alinitosa?? bilioni inatosha kuboresha familia yangu kimtindo

    ReplyDelete
  9. nazichukua 1B na kwa mke wangu sina kesi as she is called sambade masawe

    ReplyDelete

Top Post Ad