Baada ya Nicki Minaj, Huyu ni staa Mwingine wa Dunia Alietumia neno la ‘Kiswahili’ Instagram

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Stori nyingine kubwa kwa staa wa muziki duniani kutumia maneno ya Kiswahili nakumbuka ilikua December 6 2013 baada ya kifo cha Mzee Nelson Mandela ambapo Nicki Minaj aliandika maneno ya Kiswahili kwenye page yake ya instagram ‘madaraka kwa watu’
Saa kadhaa zilizopita headlines zimehamia kwa P Diddy ambae ameweka hii picha hapa chini kwenye page yake ya instagram na kuweka hashtag ya #SIMBA


----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Sasa simba inakuaje!

    ReplyDelete
  2. Kwenye filamu ya lion king ndipo alikotoa jina

    ReplyDelete
  3. labda anataka kuinunua Club ya Simba

    ReplyDelete
  4. waandishi na nyie bhana sometym mnatuboa kwa kutuandikia ata vitu va kisenge,,,mbona wabongo mnamix lugha kwenye mitandao wala wao awaandiki kuwa mbongo wa namba flan ka2mia kingereza isipokuwa nyie tu ndo mnakaz yakuandika ad vicvofaa,,,,,,,,,,, sas apo kiswahili alichotumia ad ukawashwa kutangaza ni kip kuma ww,,,,,,acheni ushamba wasenge nyie kaa umekosa cha kuandika c ukalaze kuma ako kwenu!!!!!!!!!!!!!!!!!

    ReplyDelete
  5. Asa ndio nn watu wengine bwana kwa kukosa kazi mtaandika hata uharo wa bata msenge wewe

    ReplyDelete
  6. Hahahahahahahahahahahah daaah.. 2:19 umejua kuumiza bandama langu.. maana umejiuliza mengi jibu umekosa.. anataka kununua club ya simba????

    ReplyDelete

Top Post Ad