Lady Jay Dee Awakata Wambea Midomo Kupitia Page yake ya Instagram

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Kama mnavyojua kwasiku mbili tatu hizi kumekuwa na taarifa mbalimbali kupitia blogu hizi za udau na hata SOSHO MEDIA kupitia AKAUNTI za wadaku ikiwemo mimi…kuwa Komando Lady Jaydee ametengana na mumewe Gadner G Abash...Haya sasa Lady Jay Dee Ametukata Midomo kwa Kuweka Picha ya Vidole vyake huku vikiwa bado na Pete ya Ndoa .....Na kuandika "Kucha zimekosa rangi ya Oriflame tu, ili zing'ae zaidi ya hapo "
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Mwizi wa mume wa mtu nyau huyo! ndo sababu kakosa baraka ya ndoa! Machozi ya mwanamke mwenzie hayapotei bure!

    ReplyDelete
  2. Hlf wanawake tuache rohombaya simchukii jide kilichomfanya akamtoe kibeta kwa gadner aingie yeye nini?kama hukutumia ndumba ilikuwa haki yako sawa lkn km ni ndumba we kazi yako utaloga tu mpaka yesu arudi na hutakuwa na amani umezidi.mkiambiwa mtafute wenu hamtaki.kwani kwa pesa ulizonazo ungeshindwa patawakwako wewe.rohombaya hiyo.naukute hupat mtoto sababu ume mtoa mwenzio nasiajabu ukaachana na gadner ukapata mtoto pasipo kutegemea.mungu si athumani endekeza rohombaya tu mwisho mbaya.

    ReplyDelete
  3. Mdau hapo juu ww ndo uloibiwa mume nn?mâle yanakutoka kanakwamba mumewako?jaman,vit vinaenda na rien huyo mmke mxenzake naye rizk iliisha,Kama suala la mtt anayetia mtt ni Mungu si bdam,naye upo ck Mungu atamuona kwakua yeye ndiye aliyehalalisha ndoa,bdam mnasahau ya kua kila kit kinapngwa na Mungu na kisicho rizk hakiliki,so isingekua rizk yake asingeishinae

    ReplyDelete
  4. Mbona mnamsema jayde??hivi Kama mwanaume hataki kuendelea kuishi na mwanamke mtamfunga kamba??acheni mambo ya kizamani..life is too short..kwa hiyo mlitaka hata Kama mpenzi yameisha kwenye ndoa gadna angeendelea tu na mkewe?? Ndo mana wengine wanauana ndani ya ndoa sababu ya kujifanya wavumilivu!!

    ReplyDelete
  5. mtasema sana lkn alichopanga mungu mwanadam haez kutenganisha

    ReplyDelete
  6. Ndio nyie mnasapoti ujinga km rizki iliisha mbona yakanisani walishindwa kufunga?kwani ndoa Yao yakanisani hiyo acheni kutetea anaroho mbaya lazima tuseme.mungu niwahaki fanya shortcut zako tumia ndumba at the end kwake utasujudu ndioupate utakacho.so helasikila kitu katika hayamaisha uwe nahofu ya mungu sio ujeuri jeuri tuu.kamtoa mwenzie hili hatamkatae ndio hivyo sasa utavuna ulichokipanda.

    ReplyDelete

Top Post Ad