Lulu Michael Aonyesha Kadi ya Gari yake Mpya, Aseme yeye si Kama Wakina Nanii Wanaohongwa

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Kwa Kuonyesha kuwa yeye ni Tofauti na Mastaa Wengine wa Kike Walioingia katika Mkumbo wa Kuhongwa Magari wakati kadi ya Gari lina jina la muhongaji ambayo upelekea kunyang'anywa Penzi likiisha Mrembo Lulu Michael Ameonyesha Kadi ya Gari Lake Jipya aina ya Rav 4 New Model ,
Lulu Amesema yeye si Mswahili ndo maana ameamua kuonyesha kadi ya gari yenye jina lake ili kutowapa nafasi watu kusema amehongwa , Ameongeza kuwa yeye si kama wakina nanii ambao waliohongwa na kunyang'anywa magari...Udaku Special Inakupa Hongera sana Lulu Michael Kwa Gari Jipya.

----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

13 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. dogo unaweza ukahongwa gari nalikaandikwa jina lako, hawa wazee kama kina komba washaazeeka, kwanza hawawezi wakanunua magari na kuandika majina yao, sijasema kwamba hauna uwezo wakununua gari, lakini kitendo cha kuposti mpaka hati kwenye mablog ni ushamba, sawa dogo!!

    ReplyDelete
  2. Exactly anonymous 02:26 mshukuru Mungu wako kwa kupata mstaarabu aliyekuandika jina lako na bado awe mstaarabu maana wengine mwisho wa siku huja movie kuwa gari limeibiwa ukipiga makelele Bwana anakuambia achana nalo nitakununulia nyingine kumbe kalichukua mwenyewe. Hahahahahah lol!

    ReplyDelete
    Replies
    1. Mamaeeee ushamba mzigo mbele kuko mwaaa,nyuma kuko bwawa halafu unajishaua umechukua ushamba wa wahaya wazamani wewe.maana waliostaarabika wakokimya na mapesa Yao we kirav4kimoja kelele magazetini.haitoshi kwa umalaya ulioanza kuupiga mpk leo ulitakiwa uwe namajumba na magari nauwe umeshaacha umalaya now unakula matunda kwabiashara stahiki poor u.hebu kwenda mfupi kama ndizi kisukari

      Delete
  3. duuuuu,nimemshusha elizabeth thamani,mpaka anajitangaza mabloguni kanunua gari?duuuu,lakini simshangai ukivipata ukubwani kaziiiiiiiiiii,umeshaona watoto wa vigogo waliozoea starehe tangu utoto wanatangaza magari au nyumba,ushamba mzigo,mwingine mara apige picha mbele ya gari yaaaani ni ushambaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa,

    ReplyDelete
  4. huyu muuza K hana la maana she got no education social climber and a whore she fucks for living so let her get her nasty stinking ass dirty kwa pesa...ushamba kwelikweli yani ujinga whats rav4 watu wanaendesha range rover watuonyesha rav 4 new model yuck dats discusting let me upgrade yah bitchhhhhhhhhhhh!!!!!!!! kafulia uyo mpaka mbuta imefulia mxieeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeew nipishe mie mdogo mdogo

    ReplyDelete
  5. kama gari gari lake tutapanda daladala

    ReplyDelete
  6. Tunazo na sio moja kwa yy anaeanza maisha n atujingambi hii n kifo

    ReplyDelete
  7. Hiyo gari first registration ni 2013 upya uko wapi? Mshamba huyo

    ReplyDelete
  8. Ushamba tu na kukashifu wenzio kesi hujamaliza unatafuta mengine,kama hizo hela umehongwa ukaenda kununua gari wewe mwenyewe tutajuaje?ueleze na vyanzo vyako vya pesa,halafu ukasome mtoto atleast upate uelewa vp vitu vya kutangaza vipi usitangaze,jifunze ustaarabu domo chafu kama shimo la choo,nyooooooooooooooooooooooooooo.

    ReplyDelete
  9. Lulu bado anautoto hata kama amelala na wanaume wengi utoto unamsumbua na ushamba. akipata marafiki wanaojielewa atakua. ni msichana mzuri sana na hajui thamani yake.

    ReplyDelete
    Replies
    1. halafu marafiki zake wote ni washamba na malimbukeni,kupiga picha nyuma ya gari mbuta naga!tafuta marafiki kama kina nancy sumari umewaona wanapiga picha kwenye migari au wanajitangaza wamenunua gari au nyumba?iweje?ushamba mzigooooo,tatizo hawajavizoea sasa wakipata mkundu unapitwa.KANTANGAZEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE,NYOOOOOOOOO

      Delete
  10. SORRY,NI MKUNDU UNAPWITA.

    ReplyDelete

Top Post Ad