Mapokezi ya Diamond, Mashabiki Wamtaka Wema Kukaa Ndani ya Gari Moja na Diamond

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


KATIKA hali ya kushangaza watu mbalimbali ambao ni mashabiki wa msanii wa filamu, Wema Sepetu walizingira gari la staa huyo huku wakimuamuru ashuke ili akaungane na mpenzi wake, Nasibu Abdul ‘Diamond’.

Tukio hilo lilitokea Jumatano hii maeneo ya Sinza-Mori, jijini Dar ambapo ndipo kulikuwa kikomo cha msafara uliokwenda kumpokea Diamond Uwanja wa Ndege Julius Nyere, Dar baada ya kutua akitokea kwenye tuzo za Afrimma, mashabiki hao walilizingira gari la mwanadada huyo huku wakimtaka Wema atoke ndani ya gari akapande kwenye gari alilokuwepo mpenzi wake huyo, wapigwe picha lakini hakushuka.

“Tunamtaka Wema ashuke kwenye gari lake apande huku kwa Diamond akae naye pale juu tuwashangilie kwa pamoja la sivyo hatupishi, tutaendelea kulizingira,” walisikika wakilalama mashabiki hao kwa nyakat tofauti, licha ya Wema kukataa kushuka, baadaye wakatulia na kuachia msafara uendelee.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. mmmm ilijua poa

    ReplyDelete
  2. Ungekua poaa zaid wadau kweli kabisaa tungewashangilia kwa pamojaaa mastar haooo we love them

    ReplyDelete
  3. Mmekosa kazi za kufanya wadanganyika? Poor nyie!!!!

    ReplyDelete
  4. Hiyo ndiyo kazi iliyobaki! kwani bongo kuna kazi gani? tusaidie ndugu

    ReplyDelete
  5. We acha ujinga ww..acha kushangilia wenzako tu,,,umiza kichwa ili na ww siku moja ushangiliwe bob, au ufanye kitu cha kuigusa jamii ikuelewe ww ni nani...usiishie kushangilia wanaume wenzako tu

    ReplyDelete

Top Post Ad