Meninah Azungumzia Kilichotokea Baada ya Kuripotiwa Anatoka na Diamond Pia Kuhusu Muwewe Mtarajiwa

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mwimbaji wa Bongo Flava aliyewahi kuwa mshiriki wa shindano la Kuimba BSS, Meninah La Diva amefanya exclusive Interview na tovuti ya Times Fm na kufunguka mengi ambayo hakuwahi kuyasema.

Katika mahojiano hayo aliyofanya na Josefly Muhozi, amezungumzia kuhusu kipindi chake kipya cha runinga kitakachoanza hivi karibuni.  Amezungumzia pia kilichojiri baada ya kusambaa ripoti kuwa anatoka na Diamond Platinumz na anavyomchukulia Wema Sepetu.

Kuhusu Muziki wake, Meninah ambaye hivi sasa ameachia ‘Pipi ya Kijiti’ ameeleza ugumu na mipango alinayo katika kuvuka mipaka na kufanikiwa zaidi.

Kuhusu Mapenzi, mwimbaji huyo amemzungumzia mumewe mtarajiwa na mwimbaji wa kiume ambaye kwa ‘ndoto’ zake anaota angekuwa mpenzi wake ‘kokote uliko kama unanisikia, I Love You’...! Sikiliza hapo chini akimtaja na kumpa ujumbe.

Meninah ambaye anasomea uandishi wa habari na utangazaji, ameeleza anachokifahamu kuhusu uwepo wa rushwa ya ngono kwenye media kati ya baadhi ya watu wa media na wasanii wa kike na ushauri wake.

Isikilize hapa, hupaswi kuikosa hii Interview.. Credit za  kutosha kwa DJ RGuy wa 100.5 Times Fm
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hahaha menina bwana,chakwake chake cha kwako chetu.

    ReplyDelete
  2. Mtangazaji Meninah unafundisha wasichana kuwa tegemezi wa wanaume? Ungesema tutashirikiana kwa kila kitu.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hata mimi namshangaaa. Siamini kama huyu demu anaweza kuwa total tegemezi kulinganisha na muonekano wake na yale anayoyaongea duh. Mbona watu wengi watakufa maana ni Ukimwi mtindo mmoja dah

      Delete
  3. Halafu anajifanya eti anawivu wa kufa mtu. Unakuwaje na wivu na mtu wakati mtu mwenyewe kula kulala dah. Kweli ukisikia kizazi cha alinacha ndio hiki mxiuuuuuuuuuuuu anatia na kichefuchefu

    ReplyDelete
    Replies
    1. Nimetafuta ndimu kwa kichefuchefu lakini bado sijapata ahueni,natapikaaaaaaaaaa!

      Delete

Top Post Ad